Gerald .M Magembe said:
Mara nyingi tunatofautiana ki muono lakini mimi nimekuwa katika active reviews za siasa kwa miaka 26 after my first degree.
Muono wangu kisiasa wakati naingia upinzani mara ya kwanza ulikuwa tofauti sana na leo, baada ya kuogelea kisiasa miaka 26 baadaye.
Swali: nilijiunga Chadema kwa kuwa tuliaminishwa na ndiyo Chama kinacho fuata mrengo wa kebepari. Jee leo ni kweli ?
Lakini ililazimika kubadilika kuweza kupata wanachama wengi kutokana na uhalisia wa kipato cha Watanzania.. . . . . .Jee unahama chama ? Jee kuna chama mbadala ulicho kizoea ?
Mkapa ndio wa kwanza kuamua serikali isaidia upinzani kifedha, na moja ya sababu nyingine ni Bob amekuwa jirani sana kwa kuishi,urafiki na kunywa klabu moja na familia kusocialise pamoja kwa zaidi ya miaka 31. Kuna uwezekano aliweza ku-influence decisions na policies za vyama vya upinzani kwa Mkapa .
Lakini Mkapa alihakikisha Nyanga hapati Ubunge Shinyanga. Hapa kuna political interest.
Walikuwa marafiki with deferent political interest. Majirani na marafiki lakini maono ya kisiasa yapo tofauti.
Hapa unajifunza nini? Na hii nimejionea sio kitu cha kuhadithiwa.
Sasa utegemee Mkulu anaweza akatusaidia kwa haki au upendeleo Chadema leo ? Na hata urafiki wa kusocialise hana na Mbowe.