Rais, Mimi nalia sana. Kiukweli unatuliza. Nini kimekukuta?

Huyu jamaa ni CCM kindaki ndaki na alihusika na kupotea kwa Ben saanane. Kwahiyo hana chembechembe ya CHADEMA kabisa.
 
Umeongea ukweli bro.
Japo cdm peke yao hawawezi kufanikisha ni lazima wanannchi watoe support.
Kumbukua wanachama ni wachache sana kulinganisha na wanannchi wasio na vyama.
 
Ukipigwa unatakiwa wewe utafute mbadala wa kujibu mapigo kisiasa. Msitegemee huruma vitani. Magufuli ni mwana CCM na atafanyia interest za CCM na sio za Chadema.
Una akili nzuri wewe, au unajiandikia tu kujifurahisha?

CHADEMA watapata wapi jeshi la polisi na makorokoro mengine yote yaliyobinafsishwa na mtu mmoja?
 
Una akili nzuri wewe, au unajiandikia tu kujifurahisha?

CHADEMA watapata wapi jeshi la polisi na makorokoro mengine yote yaliyobinafsishwa na mtu mmoja?

Chadema sis tutawapiga CCM kisiasa, hatuna Jeshi wala polisi na hatufikirii kupigana kwa silaha, lakini tunao wafuasi ambao tutawashirikisha kupigana kisiasa .
 
Hapana sio kweli ndugu, tunataka fair ground kwa shughuli za kisiasa na wala sio huru za CCM. Tunachotaka ni kufuata katiba na sheria za nchi ambazo zimetoa uhuru kwa kila chama cha siasa kufanya shughuli zake na sio CCM tu ndio ionekane ina haki kuliko vyama vingine. Rais anatoa matamko ya kuzuia shughuli za kisiasa kwa vyama vingine wakati akiwapa nafasi CCM na wakati sheria ziko wazi vyama vingine vina nafasi ya kufanya siasa sasa wanapodai haki yao sio kutaka huruma kwa CCM elewa hilo. CCM inatumia vyombo vya dola kukandamiza vyama vingine sheria ziko wazi vyombo vya dola havitakiwi kuwa biased bali vifuate sheria katika kutimiza majukumu yake na sio in favour of CCM na viongozi wake. Palipo na madhaifu ya kikatiba pia vyama vya upinzani vinapigania marekebisho na sio kutaka huruma ya CCM
 
 
1994 ni kama robo ya wanafunzi wa UDSM tulio fukuzwa na sijui unafahamu Rais Mwinyi alitufukuza Chuo kizima. Hasa wale walio kuwa na wazazi au walezi Dar es Salaam, tulijiunga Chadema. Leo hii tume baki 3 active.


Wengine ama wamerudi CCM ama hawako active kwenye siasa. Na ambao ni makatibu Wakuu ni 33, wakurugenzi wizarani 64, justices 18, na nafasi nyingi tuu.

Kukaa au kubaki Chadema ukiwa na akili safi Inataka moyo.
 
Laiti ungejuwa. Sorry
 
Where I differ with some fellow members of Chadema is: my open declaration that My Country first, member of Chadema, yes I love my party, but Tanzanian foremost.
 
Nimeshindwa Kuwa mnafiki na ningefurahi Sana kama Sera angebadilisha Kwa masilahi ya Taifa this is my feedback not otherwise.
 
Nacho amini binadamu hutoboa tu hata hali Iwe ngumu kias gani,hakuna kiumbe kigumu na kivumilivu kama binadamu
Conclusion yako kuhusu viumbe haiko kisayansi kabisa. Kuna nyoka na ngamia wanadunda maisha kwenye jangwa la Sahara kule, ungewaona ungefuta kauli tu..🤠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…