Rais, Mimi nalia sana. Kiukweli unatuliza. Nini kimekukuta?

Ikiwa kweli nilifanya uwo uwovu basi pia ndio nilie ivuruga chademA maana pia nilitabiri
Huna utabiri wewe, utabiri Ni karama takatifu. Nilipitia Uzi wote wa Ben Saa nane. Nilijiridhisha pasipo shaka kabisa wewe unahusika na kupotea au kifo chake.
Na ile namba aliyoiweka mle, ina jina la usajili la kichaga. TumainEl nalo Ni wale wale akina pendaEl, AikaEl...ni mchaga. Ile namba ilifungiwa matumizi lakin usajili unasoma jina flani Kama lako.
 

Ndio mmeamka sasa baada ya kukwama? Mbona tulilisema sana hili miaka miwili ya mwanzo tu kuwa huyo jamaa ni janga? Tukawa tunasema mkawa mnajifanya nyie ni wazalendo japo tuliwaambia kwa mwenendo huu, uzalendo ni sawa na ujinga. Leo ndio mnastuka wakati mechi imeshaisha!
 

Nimecheka kwa nguvu, eti wajiunge na wenzake wakapewe mkopo. Mnajiunga mko kumi kisha mmapewa mkopo wa milion tatu! Hapo sio kuwa mnaenda kupambana na umaskini, bali mnaenda kugawana umasikini maana hata uwezo wa kurejesha haupo.

Ukweli wa huyu bwana hapo mwanzo alikuwa anasifia kwa ajili alikuwa kwenye ulaji, lakini baada ya kukosa ulaji, ameamua kuongea ukweli ambao wakati ule alikuwa anaufumbia macho. Si kwamba ukweli wakati ule alikuwa haujui, bali alikuwa kwenye mlo, hivyo akawa anaipaka serikali mafuta kwa mgongo wa chupa.

La mwisho japo sio la muhimu, nasikia mmepanga kuanzisha chama kingine cha siasa mkifanikiwa kuiua cdm, je hicho chama kinaanza lini ili tujiandae kuona chama kingine cha maigizo?
 
Sema wewe jamaa na threads za kulia now days ni kawaida kwako, ni kama kuna jambo baya limekutokea.
 

Hakuna anayemkataza kufanya kwa manufaa ya ccm, ila sio kutumia taasisi za kimamlaka kuibeba ccm. Tunataka aibebe ccm kwa ushawishi wa kisiasa, na sio kuendesha ukatili dhidi ya wapinzani wake. Mfano mrahisi Yanga hawawaonei huruma simba, lakini hatusikii mwenyekiti wa Yanga akiagiza wachezaji na washabiki wa simba watekwe, wauwawe, au kubambikiwa kesi. Huo sio ushindani sahihi bali ni matumizi mabaya ya madaraka. Mfano wako sio sahihi bali upo kiupotoshaji zaidi.
 
Ikiwa kweli nilifanya uwo uwovu basi pia ndio nilie ivuruga chademA maana pia nilitabiri

Ulitabiri au ulikuwa kwenye mipango miovu dhidi ya cdm? Ilikuwa unakaa kwenye mipango miovu na unyama, kisha ukitoka kwenye hivyo vikao vya muumiani unajifanya mtabiri. Tulikuambia ule sio utabiri bali ni mipango miovu na tulikuwa tunaiona. Kilichofanyika kwenye uchaguzi wa SM na huu umwagaji damu na wizi wa kura ni vikao ulivyoshiriki.
 
Amen ,Mungu amesikia salaa za watanzania tulio wengi
 
Anavumiliwa wanamjua?
 
Unawatibua nchi wahisani wa Tz huku una miradi inayokomba forex zetu bado una matumaini ya kuifikisha nchi yetu nchi ya ahadi huo ni UONGO MKUBWA.Ni sawa unataka kuwa na vyote mtoto na bikra kwa pamoja.
 

Ukihusika mkuu na upotevu wa ben wazaz wake wanalia had leo ujue pia familia yako italia maisha yako yote
 
Kukaa au kubaki Chadema ukiwa na akili safi Inataka moyo.
Sidhani kama hili ni kweli, binafsi nawafahamu watu potential sana both private sector na serikalini ila wanaikubali sana CHADEMA.

Wengi wanahamia CCM for political future au kupata security ya shughuli zao ila huwezi niambia CCM ina fursa ama demokrasia kuliko CHADEMA never!!

Muhimu uvumilivu tu, chama ni hatua na kma una changamoto zinajisort taratibu tu with time kinakuwa perfect. Hta CCM ilianzia vikao chini ya muembe leo hii imefika ilipofika.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…