Rais, Mimi nalia sana. Kiukweli unatuliza. Nini kimekukuta?

Where I differ with some fellow members of Chadema is: my open declaration that My Country first, member of Chadema, yes I love my party, but Tanzanian foremost.
And this is where you get it all wrong.... CHADEMA are against the gov't policies which happen to be adopted from CCM.

So its more of CHADEMA vs CCM's government and not Tanzania. We should bold a clear line between gov't and Tanzania as a Nation......
 
True say. Kuongezwa kama serikali haitaki vyama vya siasa ifute Sheria tujuwe tumerudi Zama yachama kimoja kuliko kuumizana hizi roho za watu wanakufa Kwa minajili ya siasa zinalia nakudai haki zao.
 
Mara nyingi tunatofautiana ki muono lakini mimi nimekuwa katika active reviews za siasa kwa miaka 26 after my first degree.

Muono wangu kisiasa wakati naingia upinzani mara ya kwanza ulikuwa tofauti sana na leo, baada ya kuogelea kisiasa miaka 26 baadaye.

Swali: nilijiunga Chadema kwa kuwa tuliaminishwa na ndiyo Chama kinacho fuata mrengo wa kebepari. Jee leo ni kweli ?

Lakini ililazimika kubadilika kuweza kupata wanachama wengi kutokana na uhalisia wa kipato cha Watanzania.. . . . . .Jee unahama chama ? Jee kuna chama mbadala ulicho kizoea ?

Mkapa ndio wa kwanza kuamua serikali isaidia upinzani kifedha, na moja ya sababu nyingine ni Bob amekuwa jirani sana kwa kuishi,urafiki na kunywa klabu moja na familia kusocialise pamoja kwa zaidi ya miaka 31. Kuna uwezekano aliweza ku-influence decisions na policies za vyama vya upinzani kwa Mkapa .

Lakini Mkapa alihakikisha Nyanga hapati Ubunge Shinyanga. Hapa kuna political interest.

Walikuwa marafiki with deferent political interest. Majirani na marafiki lakini maono ya kisiasa yapo tofauti.

Hapa unajifunza nini? Na hii nimejionea sio kitu cha kuhadithiwa.

Sasa utegemee Mkulu anaweza akatusaidia kwa haki au upendeleo Chadema leo ? Na hata urafiki wa kusocialise hana na Mbowe.
 
Bring back Ben Rabiu Saanane
Sito sita kuendelea kusema Ben anajuwa alio yafanya sina uhakika kama alifanya nini Ila nilipo soma post zake nilitetema nikiona anachokitafuta atakipata. Japo sijuwi nini kilimtokea wala sikuwahi kutana naye wala kuongea naye Zaid yakuandika humu.
Mwisho Mimi najiona Kuwa na uwezo wa ajabu na nilisha sema na nitazidi kusema. Watu wengi humu wanahisi labda mm nimtu nilie na mafungamano na idara nyeti lahasha mim niraia wa chini na kipaji nilicho nacho ndio hiki. Kuona mambo wengi hawaioni wala kuwaza.

Anguko la chademA nililiona mwaka 2016 soma post yangu hakuna MTU alie juwa kile nilikiandika na wengi waliona kama nimechanganyikiwa Ila ona kile kimetokea nadhani sote tupo midomo wazi. Ukinisoma ukanielewa unaweza ukaiona Kesho maana Mungu kanipa nguvu za ajabu. Asante
 
Mkuu unalia jiwe likusikilize?
 
Kuna mahala CCM naona ipo vibaya hata kuliko upinzani. Kinacho onekana ni dola.
 
Huna haja ya kulia
Hata jiwe kasema yeye hapati raha kwa mke wake....wewe unataka raha ya nn?
 
sometimes its good kulia in private,ukitafuta sympathy you end up getting none,lol
 
Chadema haijaanguka Mkuu, and nafikiri inazidi kuwa poa and poa. Come 2025 ambapo huyu mshamba ataondoka ikulu then January ataingia, huu ujinga wote utaisha na maisha yataendelea kama kawaida
 

Hicho kipaji chako Cha kuona mambo mengi na uwezo wa ajabu mbona hukikusaidia kuona mapema hizi changamoto zinazokufanya ulielie na hivyo uzikwepe?
Usifanye watu wapuudhi Kama wewe Cha msingi pambana na hali yakoila tambua hiyo ni laana ya maumivu ya ndugu wa bensaanane
 
Madhara ya idara nyeti kujaza wafia chama mwisho kwenye vetting mkafeli vibaya.
Mama aliwakataza mkakomaa bado wife naye aliwaonya mkampotezea.
Saizi n muda wa kuonja dawa mliyoiandaa wenyewe.
 
Chadema sis tutawapiga CCM kisiasa, hatuna Jeshi wala polisi na hatufikirii kupigana kwa silaha, lakini tunao wafuasi ambao tutawashirikisha kupigana kisiasa .
"CHADEMA sisi tutawapiga CCM kisiasa", kama CCM wanavyowapiga CHADEMA kisiasa?

Nilidhani unalo la kuandika kumbe ni bure kabisa?
Naona mmeletwa hapa JF kwa lengo maalum, la kuvuruga pasiwepo na mjadala wowote unaoeleweka.

Tambueni nyinyi ni sehemu ya adui mkubwa wa nchi hii. Ni washiriki katika kuwakandamiza na kuwanyima haki raia wa nchi hii.
 

Hivi Gerald una degree kweli au unaandika haya ukiwa umelewa? Nimejaribu kufuatilia ulichoandika nimeshindwa kupata hoja yako ni nini. Maana nimeona miaka 31, lakini upinzani hauna miaka 31 nchi hii. Nimeona jina Bob, nimeshindwa kujua ni nani, nimeguess kuwa ni Bob Makani, lakini sioni muunganiko wa huyo uliyesema ni Nyaga, na kwa ujumla muunganiko wa mada iliyoko mezani. Kama una degree halafu mtiririko wako ndio huu, basi tatizo ni kubwa kuliko ninavyodhania.
 
Ukweli Mchungu,huu ndo ukweli.
 

Ahsante nafikiri kuna kitu kimejificha uvunguni na hutaki kukisema.

Haya ni maoni yangu

Search




Rais, Mimi nalia sana. Kiukweli unatuliza. Nini kimekukuta?​


Prev
Jump to newIgnoreUnwatch
T

TruthLover​

JF-Expert Member​

Jan 30, 20191,3422,000
Naipendatz said:
Chadema haijaanguka Mkuu, and nafikiri inazidi kuwa poa and poa. Come 2025 ambapo huyu mshamba ataondoka ikulu then January ataingia, huu ujinga wote utaisha na maisha yataendelea kama kawaida
Sidhani kama atakubali kutoka huyu.Hata kwa greda!

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app

Thanks Quote Reply
Report

K

Kalamu1​

JF-Expert Member​

Jul 7, 20187,2912,000
Gerald .M Magembe said:
Chadema sis tutawapiga CCM kisiasa, hatuna Jeshi wala polisi na hatufikirii kupigana kwa silaha, lakini tunao wafuasi ambao tutawashirikisha kupigana kisiasa .
"CHADEMA sisi tutawapiga CCM kisiasa", kama CCM wanavyowapiga CHADEMA kisiasa?

Nilidhani unalo la kuandika kumbe ni bure kabisa?
Naona mmeletwa hapa JF kwa lengo maalum, la kuvuruga pasiwepo na mjadala wowote unaoeleweka.

Tambueni nyinyi ni sehemu ya adui mkubwa wa nchi hii. Ni washiriki katika kuwakandamiza na kuwanyima haki raia wa nchi hii.

One who respects power does not fear it!
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="tindo"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/55/55693.jpg?1487229963[/IMG]

tindo​

JF-Expert Member​

Sep 28, 201135,8352,000


Umeandika hasa ndicho nilicho zungumza. Watu wamehama Chadema sio kwa muono wao kisiasa ila faida yao binafsi.

Na ninachosema tusitegemee CCM wakawa wazuri kwa Chadema kisiasa hata ukimuona mwana CCM kisiasa anakuwa rafiki yako.

Ni kitoa mfano kidogo kati ya mzee Mkapa na Mzee Makani.
 

Kazi ipo!
 
Mkuu huyu mtu ulikuwa unajaribu kupambana nae ana nguvu kubwa sana kuliko wewe....
He was ahead of you. Alikuwa few steps mbele yako akijua yanayo kuja kutokea.

He is not an ordinary citizen kama wengi wetu. Anacheza Chess kiufundi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…