Rais Mkumbuke Nassary na Masele, Ni vigeugeu ila wanao uwezo wa kukusaidia

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
761
Reaction score
6,985
Joshua Nassary pamoja na Steven Masele Ni baadhi ya vijana ambao wakitumiwa vyema wanaweza kutusaidia kusogea mbele. Mmoja alisaliti Chadema lakini mwingine alisimama Imara ila chuki binafsi na kukomoana zikamfifisha malengo yake.

Tunapojadili kuijenga Tanzania lazima tuachane na chuki binafsi tubebe taifa mbele. Naandika uzi huu nikikuomba Mhe. Rais pitia CV na majalada ya vijana hawa uwaweke kwenye safi yako ya kazi iendelee.

Najua wanatumika nje ya nchi lakini wanaweza wakatumika vyema ndani ya nchi pia.

Nikutakie kazi njema na kukuomba uzidi kututembelea huku mitandaoni kwa taarifa moto moto na mipenyezo ya taarifa kutoka kwenye jamii. Sisi wa mitandaoni tunaweza kuwa jicho la nne kukusaidia kuiona nchi na Dunia. Tunaweza kukusaidia kuyasikia Yale ambayo wanaokuzunguka wasingeweza kukufikishia.

Karibu
 
Ni vizuri kumpa maoni Mheshimiwa Rais, na huku ndio kujenga nchi yetu kwa pamoja.

Mheshimiwa rais amejipambanua kuwa ni msikivu, muelewa, asiye na vinyongo wala chuki. Naamini maoni yako atayapata na kuyafanyia kazi kwa mujibu wa atakavyoona inafaa.

Kazi iendelee
 
Kuna vijana wengi sana wenye uwezo mkubwa kuzidi hao..
Acha kukariri/mazoea, badilika
 
Joshua Nassary pamoja na Steven Masele Ni baadhi ya vijana ambao wakitumiwa vyema wanaweza kutusaidia kusogea mbele. Mmoja alisaliti Chadema lakini mwingine alisimama Imara ila chuki binafsi na kukomoana zikamfifisha malengo yake.

Tunapojadili kuijenga Tanzania lazima tuachane na chuki binafsi tubebe taifa mbele. Naandika uzi huu nikikuomba Mhe. Rais pitia CV na majalada ya vijana hawa uwaweke kwenye safi yako ya kazi iendelee.

Najua wanatumika nje ya nchi lakini wanaweza wakatumika vyema ndani ya nchi pia.

Nikutakie kazi njema na kukuomba uzidi kututembelea huku mitandaoni kwa taarifa moto moto na mipenyezo ya taarifa kutoka kwenye jamii. Sisi wa mitandaoni tunaweza kuwa jicho la nne kukusaidia kuiona nchi na Dunia. Tunaweza kukusaidia kuyasikia Yale ambayo wanaokuzunguka wasingeweza kukufikishia.

Karibu
Nilazima wafanye Kazi Serikalini?
 
Wakajiajiri
 
Ni zamu ya wengine kutafuna cake ya taifa
 
Back
Top Bottom