DOKEZO Rais, Mkuu wa Wilaya na OCD Lindi 'wamemuua' ANGEL KESSY Mwanafunzi wa PCB

DOKEZO Rais, Mkuu wa Wilaya na OCD Lindi 'wamemuua' ANGEL KESSY Mwanafunzi wa PCB

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
mkuu... mimi nakushauri muache mtoto apumzike. unaweza ukafanyika uchunguzi lakini haitobadilisha ukweli kuwa hivi sasa tunaomboleza.

hivyo ni vigumu mtu yeyote kukubali kirahisi ràhisi kupokea kifo cha mpendwa wake. ila ninacho kushauri liache hilo lipite Muda utaleta jibu...!​
Ushauri gani huu,kwani kafa kuku,hivi una mtoto hata wakusingiziwa kweli wee?
 
Kwa hiyo DC wa Lindi kawa mtoa taarifa za vifo vyenye utata. Halafu najaribu kuimagine namna OCD, DC nk walivyoingia makubaliano na kumpa DC jukumu la kutoa taarifa kisha nae akakubali.

Mkuu pole sana Mungu akupe wepesi ni jambo la kuhuzunisha.
 
Samahani mkuu, kwanza nikuulize tu kama una mtoto??
Maana nisje nikakuonea bure kumbe haujui hata uchungu wa mtoto kwa mzazi.
ninao watatu...nimezungumza hivyo sio kwa nia mbaya...serikali yetu ni kipofu anaweza kufatilia kifo cha mwanae na yeye tukampoteza...

rejea tuhuma za Mbarikiwa mwakipesile wa Mbeya dhidi ya mkurugenzi mkuu wa usalama kuua binti wa Mbarikiwa. tuhuma hizo zimepelekea leo hii Mbarikiwa amefungwa na huku akiwa amempoteza Binti yake.

ila hayo yalikuwa maoni yangu tu sio kama sina uchungu...🙏🙏🙏​
 
Mkuu pole sana kwa msiba
Ila nakupa tu angalizo kuwa usimshutumu mtoa taarifa na kumuhusisha moja kwa moja na kifo cha mwanao kabla ya kujiridhisha kuwa anahusika na kifo hicho.

Ni vyema ukachunguza mazingira ya kifo chake, na pia tafuta taarifa za kina kuhusu chanzo cha kifo cha mwanao. Usije kukuta unaowashutumu, pengine walijitolea kupigania maisha ya mtoto wako kabla ya mauti kumfikia.

Na huenda wamejikuta wakiwiwa na matendo ya huruma, na hivyo kukupa taarifa hizi kutokana na uchungu waliokuwa nao kwako. Pengine walilazimika kufanya hivyo wakiwa kama wazazi wenye kujali utu kwa watu wengine.
 
Kwa maelezo haya kuna kitu hakiko Sawa kwa mwanao, serikali chukueni hatua kwa hili
 
mkuu... mimi nakushauri muache mtoto apumzike. unaweza ukafanyika uchunguzi lakini haitobadilisha ukweli kuwa hivi sasa tunaomboleza.

hivyo ni vigumu mtu yeyote kukubali kirahisi ràhisi kupokea kifo cha mpendwa wake. ila ninacho kushauri liache hilo lipite Muda utaleta jibu...!​
Ushauri mzuri na waBusara
 
Loh,

Pokee sana sana mkuu.

Nimesoma kila neno limejaa majonzi mazito.

Mkuu wa Wilaya ahojiwe
 
Intelegensia inaonyesha kijana alikuwa anaumwa, na mzazi alituma fedha kwa matibabu ya kijana, lakini yaelekea kijana fedha hizo hazikumfikia kumtibu hivyo zilipigwa juu kwa juu, - matron- anamajibu yote!
 
Mkuu pole sana sana kwakweli! Lakini bado sijaelewa polisi au mkuu wa wilaya wamehusika vipi na kifo cha mwanao?
Mkuu uliambiwa mwanao anaumwa nini? Kwanini walitaka utume hela? Ina maana waligoma kumuhudumia mpaka utume hela?

Ulipotuma hela ilikuwa zimeshachelewa akawa ameshafariki? Mkuu kama alikosa matibabu kisa pesa naona hapo kweli kuna shida aisee na ukizingatia ni mwanafunzi!
 
mkuu... mimi nakushauri muache mtoto apumzike. unaweza ukafanyika uchunguzi lakini haitobadilisha ukweli kuwa hivi sasa tunaomboleza.

hivyo ni vigumu mtu yeyote kukubali kirahisi ràhisi kupokea kifo cha mpendwa wake. ila ninacho kushauri liache hilo lipite Muda utaleta jibu...!​
Mwili kufantiwa uchunguzi kubaini sababu ya kifo ni kumtendea haki marrhemu na familia yake.

Kwa kuwa labda si nduguyo ndo maana unamshauri mzazi akubaliane na possibly mauaji ya mwanae
 
Intelegensia inaonyesha kijana alikuwa anaumwa, na mzazi alituma fedha kwa matibabu ya kijana, lakini yaelekea kijana fedha hizo hazikumfikia kumtibu hivyo zilipigwa juu kwa juu, - matron- anamajibu yote!
Na pengine hela ndio imekuwa chanzo cha kifo kwani yawezekana alicheleweshewa matibabu kisa pesa…ni lazima matron hapa aeleze huyu mtoto alianza kuumwa lini?
 
Mtoto kafia Lindi, mzazi kalazwa Bugando (Mwanza), mwili ukaletwa Dar es Salaam kwa mzazi.

Mzazi yupo wapi?
Wapi kasema umeletwa Dar. Wacha ujuaji kwenye kila.kitu wewe dogo. Kama mzazi alipata taarifa ya kifo cha mwanaye akiwa Mwanza either kikazi au ndio asili yao na alienda huko huku makazi yake yakiwa Dar je? Pumbavu mkubwa wewe. Mtu ana msiba alafu unaleta usela mavi.
 
"KWA NINI MKUU WA WILAYA ALILAZIMISHA MWILI KUPAKIWA KULETWA DAR HOPSTALI YA TEMEKE PASIPO RIDHAA YA MAANDISHI KUTOKA LINDI KUJA DAR?". Wewe ni tatizo kwenye jamii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom