Mkuu huwezi kuvuna usichokipanda. Sisi tumepanda upangaji wa matokeo na migogoro kwenye michezo hivyo usitegemee kupata mafanikio haya unayoyasema.Kama Taifa tuhakikishe tunakomba medali zote na kuwa taifa la kwanza (kwenye list) kwa medali za dhahabu.