Rais mpenda michezo

Rais mpenda michezo

Kama Taifa tuhakikishe tunakomba medali zote na kuwa taifa la kwanza (kwenye list) kwa medali za dhahabu.
Mkuu huwezi kuvuna usichokipanda. Sisi tumepanda upangaji wa matokeo na migogoro kwenye michezo hivyo usitegemee kupata mafanikio haya unayoyasema.
 
AMINI USIAMINI - Tanzania kuchomoza na KOMBE LA DUNIA 2018
 
Fitna ifanyike Malinzi ang'olewe TFF hana nia njema na mpira wetu huyu mtu
 
Back
Top Bottom