E Erijo JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 453 Reaction score 378 Apr 10, 2016 #21 blessings said: Kama Taifa tuhakikishe tunakomba medali zote na kuwa taifa la kwanza (kwenye list) kwa medali za dhahabu. Click to expand... Mkuu huwezi kuvuna usichokipanda. Sisi tumepanda upangaji wa matokeo na migogoro kwenye michezo hivyo usitegemee kupata mafanikio haya unayoyasema.
blessings said: Kama Taifa tuhakikishe tunakomba medali zote na kuwa taifa la kwanza (kwenye list) kwa medali za dhahabu. Click to expand... Mkuu huwezi kuvuna usichokipanda. Sisi tumepanda upangaji wa matokeo na migogoro kwenye michezo hivyo usitegemee kupata mafanikio haya unayoyasema.
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Apr 10, 2016 Thread starter #22 Inshallah tuanze na Olimpiki Rio De Jenairo 2016.
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 Apr 10, 2016 #23 secrete said: Yaani miaka 10 tupu inauma inaudhi Click to expand... Serikali ya awamu ya nne ilivutia sana Wawekezaji-Edward Ngoyai Lowassa 6th April, 2016 akiongea na wanajumuia wa UDSM
secrete said: Yaani miaka 10 tupu inauma inaudhi Click to expand... Serikali ya awamu ya nne ilivutia sana Wawekezaji-Edward Ngoyai Lowassa 6th April, 2016 akiongea na wanajumuia wa UDSM
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Apr 10, 2016 #24 hatari tupu bongo ujanja ujanja tu
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Apr 18, 2016 #25 AMINI USIAMINI - Tanzania kuchomoza na KOMBE LA DUNIA 2018
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Apr 18, 2016 #26 Fitna ifanyike Malinzi ang'olewe TFF hana nia njema na mpira wetu huyu mtu
ABISHACK LAZARO Member Joined Jan 7, 2014 Posts 8 Reaction score 5 Apr 18, 2016 #27 Hata kurekebisha viwanja vya mpira