Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye Kitengo Cha Inteligensia cha CCM, amesema CCM imeshashinda kwa Over and Obove 80%. JK ataapishwa Ijumaa Saa 4 Asubuhi Uwanja wa Taifa!.
Naombeni msinisakame au kunifananisha na MS!.
habari ndio hiyo!.

hawezi kushinda kwa ujanja ujanja mwaka huu. Atatuambia hizo kura kazitoa wapi?
Wanabodi,
Sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye Kitengo Cha Inteligensia cha CCM, amesema CCM imeshashinda kwa Over and Obove 80%. JK ataapishwa Ijumaa Saa 4 Asubuhi Uwanja wa Taifa!.
Naombeni msinisakame au kunifananisha na MS!.
habari ndio hiyo!.
Safi sana kwa taarifa nzuri Mchungaji, Mungu amesikiliza kilio chetu.Jamani habari za uhakika, Prof Kahigi amechukua jimbo la Bukombe sasa hivi wasumbwa wanakesha wakilewa, Dada yangu Regia Mtema anaongoza vituo vingi vya Ifakara Mjini hadi Mlimba, na Prof Mlambiti Kule Malinyi anachuana vikali na Dr Hadji Mponda, Kifupi jimbo linaenda CHADEMA jamani mabadiliko hayooooooooooooooooooooooooooooooooo