Elections 2010 Rais Mpya kuapishwa Ijumaa

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,
Sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye Kitengo Cha Inteligensia cha CCM, amesema CCM imeshashinda kwa Over and Obove 80%. JK ataapishwa Ijumaa Saa 4 Asubuhi Uwanja wa Taifa!.

Naombeni msinisakame au kunifananisha na MS!.
habari ndio hiyo!.
 
May be..
 
Kura bado zinahesabiwa HACHA UZUSHIII:nono::nono::nono::nono:
 
Wanabodi,
Sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye Kitengo Cha Inteligensia cha CCM, amesema CCM imeshashinda kwa Over and Obove 80%. JK ataapishwa Ijumaa Saa 4 Asubuhi Uwanja wa Taifa!.

Naombeni msinisakame au kunifananisha na MS!.
habari ndio hiyo!.

Mkuu taratibu PASCO;

Kura bado zinahesabiwa.

Zenji pia mwana si riziki tena!
 
sisi tunahesabu kituo kwa kituo atashindaje wakati vituo vingi ameshindwa mubaya,mnataka leta maafa nyie na propaganda zenu
 
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh Tayari wamechakachua jamani au inakuwaje hapo PASCO
 
Na we ndo umeamua kutoka na thread yako eti? Pumzika utakuwa umechoka!
 
Hawezi kushinda kwa ujanja ujanja mwaka huu. Atatuambia hizo kura kazitoa wapi?
 
Wanabodi,
Sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye Kitengo Cha Inteligensia cha CCM, amesema CCM imeshashinda kwa Over and Obove 80%. JK ataapishwa Ijumaa Saa 4 Asubuhi Uwanja wa Taifa!.

Naombeni msinisakame au kunifananisha na MS!.
habari ndio hiyo!.

baada ya mnajimu kuadhirika na kusubiria kuelekea lupango, nionavyo na wewe utafuata.
 
pasco my be umeangalia kwenye website ya tume yalematokeo ni ya mwaka 2005 sio 2010 acha kukurupuka kijana
 
Pasco mbona toka asubuhi ulikuwa unaleta habari moto moto....saa hii umekuwaje tena....acha utani bana....jaribu kuwa siriaz kidogo
 
Jamani habari za uhakika, Prof Kahigi amechukua jimbo la Bukombe sasa hivi wasumbwa wanakesha wakilewa, Dada yangu Regia Mtema anaongoza vituo vingi vya Ifakara Mjini hadi Mlimba, na Prof Mlambiti Kule Malinyi anachuana vikali na Dr Hadji Mponda, Kifupi jimbo linaenda CHADEMA jamani mabadiliko hayooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Wakitupiga CHAKACHUWA, kama Kenya then kutakua na uprise...
 
Jamani habari za uhakika, Prof Kahigi amechukua jimbo la Bukombe sasa hivi wasumbwa wanakesha wakilewa, Dada yangu Regia Mtema anaongoza vituo vingi vya Ifakara Mjini hadi Mlimba, na Prof Mlambiti Kule Malinyi anachuana vikali na Dr Hadji Mponda, Kifupi jimbo linaenda CHADEMA jamani mabadiliko hayooooooooooooooooooooooooooooooooo
Safi sana kwa taarifa nzuri Mchungaji, Mungu amesikiliza kilio chetu.
 
Back
Top Bottom