Libreville, Gabon
Rais mpya wa Gabon anashtua kila mtu, Nitawaua Nyote Mnaohusika na mgao wa umeme ...
View: https://m.youtube.com/watch?v=aBdYmZ54h9A
Rais wa Gabon , Jenerali Oligui Nguema ametishia kuua wale wote wanaohusika na mitambo ya kuzalisha umeme 14 mzalishe umeme bila mgao nchi nzima ....kufuatia mgawo wa umeme huku mitambo hiyo 14 imetelekezwa, Jenerali Oligui Nguema amesema hilo halivumiliki na kuwa ...
Kila siku mnanilaumu mimi rais Jenerali Oligui Nguema kwa mgao wa umeme bila kuja na jibu la kumaliza tatizo la mgao wa umeme huku serikali imenunua mitambo ya genereta kubwa kuondoa tatizo...
Rais wa Mpito, Jenerali Oligui Nguema anasema anatoa miezi sita kwa wafanyakazi vigogo wa serikali wazembe ama sivyo watatimuliwa waende nyumbani ...
Pia akizungumza usambazaji wa maji safi, Jenerali Oligui Nguema amepiga mkwala kuwatimua vigogo wafanyakazi wa idara ya maji kwa kuwa hawastahili mishahara kwa kuwa wanaharibu mitambo na kusambaza maji machafu kwa raia ...
Gabon nchi nzuri katika ramani hii ya Afrika iliyokuwa koloni la Ufaransa na baada ya uhuru kutawaliwa na familia ya Bongo kwa miaka 43 kabla ya kupinduliwa na Jenerali Oligui Nguema aliyekuwa mlinzi mkuu wa rais Bongo
Gabon nchi tajiri inayozalisha mafuta kwa wingi, uuzwaji bidhaa maliasili kama magogo na madini kwa wingi, inakabiliwa na shida ya nishati ambayo ina athari kubwa katika mji mkuu wake, Libreville.
Shirika la Société d'Eau et d'Énergie du Gabon (SEEG) limekuwa likitekeleza ugavi wa umeme kwa mgao tangu Septemba 4 ili kukabiliana na nakisi ya uzalishaji umeme wa mabwawa ya maji, na kuzuia kujizima kwa gridi ya umeme .
Mipango hii ya kukatwa kwa umeme kwa saa tatu hutokea mara kadhaa kwa siku, na kuathiri wakazi wa Libreville bila kujali eneo au wakati wa siku.
Kushuka kwa uzalishaji kunatokana zaidi na viwango vya chini vya maji katika bwawa la Kinguélé-Tchimbélé, miundombinu muhimu kwa usambazaji wa umeme wa Libreville.
Bwawa hilo, ambalo linachukua karibu nusu ya uzalishaji wa nishati katika mji mkuu, lina upungufu wa megawati 60.
SEEG ilikuwa tayari imeonya mnamo Juni juu ya viwango vya chini vya maji kufuatia msimu wa mvua kidogo kuliko utabiri.
Hali hii inaangazia uwezekano wa kuathirika kwa mfumo wa nguvu wa Libreville, ambao kwa kiasi kikubwa unategemea rasilimali za maji.