Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini kasema kweli ni kama lile debe tupu lenu la chato.Mpumbavu huyu, wakenya wameamua kumchagua na mahakama yao ambayo wanaiamini imemthibitisha. Ila yeye yuko huko Nachingwea anaumia.
Wewe inaonyesha huna uelewa wa kupiga kura, wakenya wana uelewa mkubwa sana hawadanganyiki na kipande cha mkate kama nynyi huku au kama wewe unachojaribu kufanya hapa. Ruto mpaka majjaji wote saba tena kwa kauli moja wamemkubali jambo ambalo sio kawaida halafu unaleta uswahili.Wakenya niliwashauri mumchague Ruto ila ningependa tena kusema hatakuwa kiongozi mzuri kama nilivyokuwa namfikiria. Poleni.
Ameanza kuwanunua wapinzani wake jambo ambalo ni baya sana katika ustawi wa demokrasia, ili nchi yenu iendelee kuwa demokrasia imara mnahitaji watu wenye misimamo na watakaotoa upinzani imara serikali, anachokifanya Ruto ni kuuvunja upinzani uti wa mgongo.
Anaonekana ni mgawanya watu zaidi kuliko kuwa muunganishaji. Kiongozi mzuri anapaswa kuwa mtu muunganishaji. Nimemuona akitoa hotuba huku akimfanyia kebehi Kenyatta, hakuna ulazima wa hilo jambo tena kwa sasa, ni vyema angekaa kimya tu kuliko kumzungumzia kwa mzaha.
Anaonekana muda mwingi sana akiitumia kwenye mambo ya kidini, kwenye makongamano, akihubiri, akiimba, akifanyiwa maombi n.k. Mojawapo ya dalili ya viongozi wabovu na "incompetent" ni kujificha chini ya kivuli cha mambo ya kidini na mara nyingi wakimtaja sana Mungu ili kujionyesha ni watu wema. Bahati mbaya sana hii ni propaganda ambayo hununuliwa na raia wengi wenye akili ndogo.
Developed country with many people dying of hunger every year, developed country but depends on food donations from desert countries (UAE), developed country with 60% of it's population can't afford 3 meals a day?[emoji38][emoji38][emoji38]Mmeanza
Kenya ni more developed country usiwaze mambo ya kuilinganisha na bongo
Miguna Miguna amefurushwa nchini kwake licha ya mahakama kutoka amri ya kurudishwa Kenya bila masharti yoyote.Unafahamu maana ya kuwa na jirani anayejielewa?
Unajua maisha ya Tundu Lissu yaliponea chupuchupu Nairobi na Lema alienda uhamishoni Canada kupitia Nairobi ? Hao walikuwa Wakenya?
Walishawahi kukufanyia Kisasi?Hii mada imeshiba sana....na mtoa uzi kaongea FACTS!
Ruto na mwanae Gachagua wana visasi vya ajabu sana aisee
Ukiwa na mtu, mnataka kufanya biashara kila mara anataja Mungu/Dini Unnecessarily kuwa muangalifuWakenya niliwashauri mumchague Ruto ila ningependa tena kusema hatakuwa kiongozi mzuri kama nilivyokuwa namfikiria. Poleni.
Ameanza kuwanunua wapinzani wake jambo ambalo ni baya sana katika ustawi wa demokrasia, ili nchi yenu iendelee kuwa demokrasia imara mnahitaji watu wenye misimamo na watakaotoa upinzani imara serikali, anachokifanya Ruto ni kuuvunja upinzani uti wa mgongo.
Anaonekana ni mgawanya watu zaidi kuliko kuwa muunganishaji. Kiongozi mzuri anapaswa kuwa mtu muunganishaji. Nimemuona akitoa hotuba huku akimfanyia kebehi Kenyatta, hakuna ulazima wa hilo jambo tena kwa sasa, ni vyema angekaa kimya tu kuliko kumzungumzia kwa mzaha.
Anaonekana muda mwingi sana akiitumia kwenye mambo ya kidini, kwenye makongamano, akihubiri, akiimba, akifanyiwa maombi n.k. Mojawapo ya dalili ya viongozi wabovu na "incompetent" ni kujificha chini ya kivuli cha mambo ya kidini na mara nyingi wakimtaja sana Mungu ili kujionyesha ni watu wema. Bahati mbaya sana hii ni propaganda ambayo hununuliwa na raia wengi wenye akili ndogo.
Walishawahi kukufanyia Kisasi?
Sawa mzungu yoda mwenye uzungu mwingi na maneno yasiyo tupu ya khangaUna uswahili mwingi sana na maneno matupu ya khanga.
hivi nyie watu mnafahamu jinsi uhuru na raila walivyomdhalilisha Ruto toka mwaka 2018?,Wanao mshauri wamwambie ayatengeneze na wapinzani yake. Lakini akianza kwa kutukana kama akivyomtukana Atwoli imekula kwake mazima yaani imekula kwake bigtime, ukweli mchungu huu. Asizani kuongoza watu ni kama kuongoza ngombe. Hakuna mtu mbaya kama anaye tenda dhidi yako akiwa anajilinda ili uhai wake usije ukachezewa.
Wakenya niliwashauri mumchague Ruto ila ningependa tena kusema hatakuwa kiongozi mzuri kama nilivyokuwa namfikiria. Poleni.
Ameanza kuwanunua wapinzani wake jambo ambalo ni baya sana katika ustawi wa demokrasia, ili nchi yenu iendelee kuwa demokrasia imara mnahitaji watu wenye misimamo na watakaotoa upinzani imara serikali, anachokifanya Ruto ni kuuvunja upinzani uti wa mgongo.
Anaonekana ni mgawanya watu zaidi kuliko kuwa muunganishaji. Kiongozi mzuri anapaswa kuwa mtu muunganishaji. Nimemuona akitoa hotuba huku akimfanyia kebehi Kenyatta, hakuna ulazima wa hilo jambo tena kwa sasa, ni vyema angekaa kimya tu kuliko kumzungumzia kwa mzaha.
Anaonekana muda mwingi sana akiitumia kwenye mambo ya kidini, kwenye makongamano, akihubiri, akiimba, akifanyiwa maombi n.k. Mojawapo ya dalili ya viongozi wabovu na "incompetent" ni kujificha chini ya kivuli cha mambo ya kidini na mara nyingi wakimtaja sana Mungu ili kujionyesha ni watu wema. Bahati mbaya sana hii ni propaganda ambayo hununuliwa na raia wengi wenye akili ndogo.
hivi nyie watu mnafahamu jinsi uhuru na raila walivyomdhalilisha Ruto toka mwaka 2018?,
Ruto kadhalilishwa sana, katukanwa sana, kadharauliwa sana na kambi ya uhuru, alafu leo mnamwona Ruto ndio mkorofi au ana roho mbaya ila uhuru ana roho nzuri?
nadhani mnapenda awe mbaya kama alivyokua uhuru +raila
Angekuwa Nyerere angekuwa sasa anakufa