Rais mpya wa Lebanon anasema magaidi wa hezbollah hawana nafasi katika nchi hio

Kibaraka wa Marekani huyo. Ngoja tusubiri tuone kama atafanikiwa.
 
Kama ana backup ya western bas uhakika nje na hapo Iran ana jambo lake
 
Awe na akiba ya maneno.na akumbuke jinsi Hezbollah walivyopigana Bega kwa Bega na wakristo dhidi ya masalafi wa kisuni Lebanon. Kuanguka kwa Hezbollah ni kuwa expose wakristo wa Lebanon dhidi ya masalafi wa kisuni.
 
ndg yangu kwenye mafunzo mbalimbali ...Mimi mtanzania yeye muyahudi ...namfahamu kabisa
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye atakubali kuandamana na gaidi

Hayupo
 
Awe na akiba ya maneno.na akumbuke jinsi Hezbollah walivyopigana Bega kwa Bega na wakristo dhidi ya masalafi wa kisuni Lebanon. Kuanguka kwa Hezbollah ni kuwa expose wakristo wa Lebanon dhidi ya masalafi wa kisuni.
Hajasema kuwa hata hiyo ni kwa maslahi ya Wakristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…