Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ww Kalemani nini umekuja kujipigia promo? Hicho unachoweza kufanya umeme usikatike kamwambie aliye kwenye nafasi afanye. Au lazima ukae ww kwenye hiyo position?Kwa heshima na taadhima ninakuomba umrudishe Mhe. Kalemani kuongoza Wizara ya Nishati.
Nakuapia haitafika Mei, 2024 adha hii ya umeme itakuwa imekwisha kabisa. Aliyepo sasa hivi apelekwe Wizara nyingine hawezi kuvaa viatu vya Kalemani.
Umetumwa siyo? Mwambie hana adabu uwaziri hataupata tena.Kwa heshima na taadhima ninakuomba umrudishe Mhe. Kalemani kuongoza Wizara ya Nishati.
Nakuapia haitafika Mei, 2024 adha hii ya umeme itakuwa imekwisha kabisa. Aliyepo sasa hivi apelekwe Wizara nyingine hawezi kuvaa viatu vya Kalemani.
RC wa Dar Chalamila ameshatangazia umma kuwa umeme upo wa kutosha ila Miundombinu iliyopo haina uwezo wa kubeba umeme hivyo mgao utaendelea hadi mwisho wa dunia.Nadhani ifike mahali tukubali kama taifa kuwa tulijikwaa pakubwa (tulikosea sana) kumuondoa Mhe. Dkt. Medard Kalemani MB toka kwenye Baraza la Mawaziri na Wizara ya Nishati.
Hali tuliyo nayo ya nishati ya umeme Tz ni wazi kuwa hatuwezi kuvutia uwekezaji mkubwa zaidi tu ya uwekezaji mdogo mdogo wa wanyonge.
Ukitathmini tija ya Mhe. Dkt. Kalemani, ya Mhe. January Makamba na ya Mhe. Dkt. Dotto Biteko NWM unaweza kujuwa uamue nini kwa maslahi ya taifa.
Ni wazi utagundua kwamba rekodi ya Mhe. Dkt. Kalemani MB inamsemea bila kuhitaji msaada.
Mhe. David Cameron waziri mkuu mstaafu amerudi kwenye Baraza la Mawaziri la Mhe. Rishi Sunak (PM) akiwa kama Waziri wa Mambo ya Nje.
Mhe. Vladmir Putin aliwahi kuwa waziri, rais, waziri mkuu, rais tena.
Mhe. Dkt. Medard Kalemani MB ni nani kulinganisha na Putin na Cameron hadi tupate shida kumrejesha nishati!?
Tutakapogundua kwamba kumbe tunahitaji zaidi umeme kwa maendeleo ya taifa badala ya kuhitaji mbwembwe za teuzi zisizo makini tutakuwa tumesalimisha taifa.
Makonda Tena?Ulichokitoa kwa hila huwa ngumu kukirudisha. Hata mke ukimuacha kwa hila huwa shida sana kumrudisha, utam face vipi humo ndani? Kila mtu anajua rekodi ya Dr. Kalemani..ajisemeacho Makonda kuwa watu walimfuata mama kizimkazi alipoapishwa tu na kumuambia fulani mtoe sio mtu mzuri, muweke fulani pale.
Mama kashtukia ila kuna baadhi anashindwa kuwarudisha sababu ya aibu. Hizi stress za sasa wala zisingekuwepo..aliwatoa kina Kabudi, kina Lukuvi kule ardhi, kina Kalemani sababu alihisi watakuwa maarufu kuliko yeye.
Hawa watu japo wamepotezwa ila ni maarufu mno. Mfano mdogo ni makonda tu. Alivyorudi mmeona umaarufu wake. Hawa watu walisaidia kukiweka chama mahali pazuri.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Maybe uko sawa, lakini kuna kitu kinaitwa “politics”, hili hufanya hata wale best performers kutokuchaguliwa. Ni kweli record zinambeba, lakini je wakubwa watamruhusu?Nadhani ifike mahali tukubali kama taifa kuwa tulijikwaa pakubwa (tulikosea sana) kumuondoa Mhe. Dkt. Medard Kalemani MB toka kwenye Baraza la Mawaziri na Wizara ya Nishati.