Rais Mstaafu Jakaya Kikwete agomea eneo la ekari 50, ataka ekari 500

Mbeya tayari kuna vyuo vya serikali vya MUST na Mzumbe kwa nini visipanuliwe hivyo na viwe vikubwa kama UDSM badala ya kuendelea kuhamishia matawi ya vyuo vingine huko?
 
..kuna chuo kikuu tayari.

..lakini watakuwa mabwege wakiichezea fursa hii iliyowaangukia.

..kuna mikoa na maeneo mengi hapa Tz yanamezea mate fursa ambayo Mbeya wameipata.
Mtu hawezi kuwa bwege kiasi hicho, utakuwa ni uhujumu wa makusudi.
 
Mbeya tayari kuna vyuo vya serikali vya MUST na Mzumbe kwa nini visipanuliwe hivyo na viwe vikubwa kama UDSM badala ya kuendelea kuhamishia matawi ya vyuo vingine huko?
Mzumbe na MUST wanatoa kozi ambazo UDSM wanazitoa, mfano udaktari ???
 
Kama wanavyo tayari kwa nini UDSM inaenda kufungua tawi huko? Hizo pesa kwa nini wasizitumie kuboresha miondombinu na kutoa scholarships za chuo????
Kwani mbeya hawana chuo kikuu?
 
Kagera siyo sitimbi, nchi inayopakana na nchi tatu utasemaje ni sitimbi?
sasa kuna nini kagera mzee, nipo hapa kagera hivi ninavyoandika niambie kuna nini nitoke nje niangalie. kitu gani wahaya mtasimama mbele za watu kuiambia dunia kuwa kagera ni bora kuliko maeneo mangine ya Tanzania? hata kumega wilaya zenu watengeneza chato ingefaa tu.
 
Siku hizi ana sauti
 
Hostel zikiwa nje ya chuo hiongeza costs za kuishi kwa wanafunzi,
 
Kwa nini Muhimbili ambao wamebobea kwenye udaktari wasiende kufungua tawi huko huko badala UDSM?
Hoja yako ingekuwa na mantiki sana kama UDSM-Mbeya kingekuwa hakiwezi kujiendesha vizuri kama MUHAS. Lakini kinafanya vizuri na kimejaa wataalamu wabobezi kwenye udaktari. Hapa shida yako ni ipi haswa ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…