Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amlilia Bernard Membe

Natamani kuuona unafiki wa Msoga siku Edo akitangulia endapo Maulana amepanga atangulie kabla yake nami nikijaliwa uhai.

Bladfaqen.
Unapokuwa mwanasiasa huwa unaondokwa na aibu, staha na utu.

Utastaajabu mtu anamwaga chozi la kinafiki hadharani katika msiba wa mwenzie ilhali yeye huyo huyo ndie aliyemuua (tushayaona sana).
 


"Familia zetu, na mapito ya maisha yetu yamehusiana sana"

MAPITO ya MAISHA yamehusiana sana. Mimi bwana mahusiano na mapito na Marehemu nayasema past tense or past perfect na sio present CONTINUES tense.....)
 
Hakuna ampangiaye mwanadamu mwenzake siku ya kifo chake.

Unajuaje, pengine wewe utatangulia kabla ya Kikwete au Makamba?

Wangapi waliokuwa wenye afya njema wamekwishafariki lakini waliokuwa wamelazwa vitandani wakaamka kwenda barabarani?

Wazee wangapi wamekuwa wakihudhuria misiba ya vijana na watoto?

Kifo ni fumbo, hakuna anayeweza kujitapa kuwa analijua jibu lake.

Pole sana Jakaya kwa kufiwa na mtu wako wa karibu. Pole sana familia ya Membe.

Tumwombe Mungu aijalie Roho ya Bernard Membe pumziko la amani. Tunamwomba Mungu wa huruma na msamaha, akayatazame Mema yake na yakawe sababu ya msamaha pale alipopungukiwa kama mwanadamu.
 
Hata mimi nikitangulia hakuna tatizo ila tujue tu siku atakayokufa Kikwete, Makamba Sr, Lissu, Mbowe na takataka zote zilizotoa kejeli dhidi ya kifo cha JPM tutakumbushia tu msemo wao, “ wazuri hawafi”. Wavumilie tu na sisi furaha zetu wakati wanazika mizoga yao pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…