Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

Duh Mfinanga kaikosa hiyo nafasi.. Yule Prof Mfinanga si mtu wa mchezo mchezo.
Hii statement yako imenikumbusha kitu kimoja cha zamani zana. Mwaka 2015, JK wakati anatangaza Baraza lake la kwanza kabisa la Mawaziri, mara baada ya kusoma jina la mwisho kabisa kwenye orodha ya majina ya Mawaizri aliokuwa amewateua, alitamka maneno haya "KAPU LIMEFUNGWA, UWAZIRI HUWA HAUSOMEWI"
 
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa chuo hicho.

d4ace0cbe53f12991e5e36b71e6329ed.jpg

7ef9773ed0e835c4288ee60495a099e7.jpg
Vp kwani, ametenguliwa au amekufa?
 
Back
Top Bottom