Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

Namjua vizuri sana huyu jamaa ila sidhani km atakua fit kama alivyokuwa MUKANDALA
 
hongera Prof Anangisye. Ni mtu anayefanya kazi sana si mtu wa kulalalala
 
Utaratibu wa kipuuzi na kibyurokratik bila sababu ya msingi! VC anapaswa kwanza apatikane kwa academic na leadership merits. Watu watume maombi, kisha internal na external reviewers wapitie maombi na kupendekeza mtu, ambaye council ya chuo itaidhinisha.

Yaani sisi bado tupo zama za kale!!
Umeona eeeh ??
Search Team inabidi iundwe na University Council halafu watu watume maombi na wafanyiwe udahili.

Lakini hili la kuruhusu wanasiasa kuwa na nguvu kubwa kwenye taasisi za elimu ni jambo baya mnooo.

Wewe angalia tu,
Nguvu ya Waziri katika kufanya Uteuzi wa members wa University Councils ni balaa tupu.

NB: wabongo inabidi tujifunze kwakweli.
 
Mkuu Jogi, kuna maisha mazuri sana nje ya mipaka ya siasa. You have allowed partisan politics to shape your view of the world: You will always lead a cold and lonely life full of disappointment.

NB : This is too low from you....
Mkuu hili tatizo hili!nadhani ni mutational disorder imetukumba. Tunahitaji kuondoa kizazi chote kuruhusu generation mpya.
 
Mkuu Jogi, kuna maisha mazuri sana nje ya mipaka ya siasa. You have allowed partisan politics to shape your view of the world: You will always lead a cold and lonely life full of disappointment.

NB : This is too low from you....
Sorry!
But my concern was safety of our beloved children using the apartments, absolutely nothing to do with politics.
I don't know nothing, but one thing I'm sure i know that every man thinketh that his burden is the heaviest.

My perspective is mine can't be yours!
 
Umeelewa nilichokisema? Tatizo siyo mchakato umeanza lini. Tatizo ni VC kapatikanaje: je, kwa academic na leadership merits? Ulisikia nafasi ya VC ikitangazwa na watu wakiambiwa watume maombi?
Mkuu Nzi sijui kama watu watakuelewa.
Nimejifunza sana na nimeona hatari kubwa mno pindi vyuo vikuu vinapoanza kuongozwa kisiasa.

Nafasi za chuo kikuu inabidi ziongozwe kitaaluma kwasababu mtu kama Dr Bana au Prof Kitila wakishika hizo nafasi basi nakuhakikishia mambo yatakuwa mabaya kwenye Elimu sijapata ona.

Sina uhakika sana lakini ninachojua kwasasa vyuo vingi nilivyowahi kukagua sheria zake ni kwamba kuna kitu Kinaitwa SEARCH TEAM ambayo inapendekezwa na University Council halafu majina yanapelekwa kwa Chancellor ambapo yeye huteua The Convener of the Search Team.

Search Committee hutoa matangazo na kisha hufanyia watu udahili. Lakini pia wanakuwa na nguvu ya kufanya Head Hunting, kuwafanyia udahili watu ambao wenyewe itawaona wanafaa.

Mwisho kabisa wanapeleka Recommendations to the Chancellor ambaye atafanya Uteuzi kama ambavyo sheria inataka na pia atamjulisha Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

NB: Huwezi kutumia vifungu tajwa hapo juu kama hutafuata huu mchakato mzima. Hapo ina maana kuna SEARCH COMMITTEE iliundwa. Kama haikuundwa basi mtu yeyote ambaye hajaridhika anaweza kwenda mahakamani na kupinga huu uteuzi kwasababu haukufuata sheria.
 
Sorry!
But my concern was safety of our beloved children using the apartments, absolutely nothing to do with politics.
I don't know nothing, but one thing I'm sure i know that every man thinketh that his burden is the heaviest.

My perspective is mine can't be yours!
Yes your perspective will always be yours but i get disgusted when these narrative cause a fuss to other people to the extent that it becomes really hard to concentrate on important issues because of these lousy noises you make.
 
Attend the sirens and dont brand them 'noisy'
They're amongst important and serious issue.
 
Back
Top Bottom