Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

Kufuatia kuisha muda wa utumishi (miaka 10) ya Prof. Mukandala, hatimaye Prof. Anangisye apewa dhamana ya kukiongoza chuo hiki kikubwa kabisa Tanzania na bara la Africa kwa ujumla.
Aidha shukurani za pekee kwa VC aondokaye na ajaye pia.
 

Attachments

Aongelee nyufa za majengo ndio tutaijua akili yake ikoje.
 
Umeelewa nilichokisema? Tatizo siyo mchakato umeanza lini. Tatizo ni VC kapatikanaje: je, kwa academic na leadership merits? Ulisikia nafasi ya VC ikitangazwa na watu wakiambiwa watume maombi?
Ndio
 
wewe jamaa ni bogus sana yaani
Mkuu, huenda jamaa ni bogus...kama ulivyomdhihaki! Lakini kabla ya kumwita bogus ulitakiwa umwelekeze kwa kuonyesha makosa yake(if any) na kumrekebisha...ili asije kurudia makosa hayo...na hio ndo kuwa Great thinker! tofauti na hivyo, wewe ndo BASHITE Nambari1
 
Mfinanga is very smart, najua hizo nafasi kuna siasa ndani yake ila nakuhakikishia Prof Mfinanga ni smart sana lazima wamemsoma wakamuogopa maana huku jf watu ni wajuaji sana wanalishana maneno ila tafuta watu waliofanya kazi na Prof MFINANGA
Hongera kwa Uteuzi
Nakuunga mkono mkuu.sema tu ana kaukorofi fulani.
 
Wanataaluma wa UDSM wanasema wangeacha kazi kana Dr. Bana angeteuliwa, maana alianza muda mrefu kujipendekeza kwa wakubwa.
 
Ufipa wamenuna naona walimtaka yule mpare apewe shavu. Vetting nomaaa
wew n mpuuz,kwan kuna shida gan? MBNA tumejaa tele ktk sekta nyeti? sio lazma kuwa vc
wala haina shida tutaendelea kupiga kitabu kwa kwenda mbele nyie endeleen kucheza bao hapo tuangoma
 
Back
Top Bottom