Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

Michango yangu yote humu jukwaani ni kwaajili ya watu wenye uelewa mpana uliotukuka kama anavyosemaga mkuu GENTAMYCINE

Kama wewe uelewa wako ni tia maji tia maji ni ngumu sana kunielewa mkuu!
Nami nilikuelewa as you were trying to quote Dr Bana.
 
Duh Mfinanga kaikosa hiyo nafasi.. Yule Prof Mfinanga si mtu wa mchezo mchezo.
Hii statement yako imenikumbusha kitu kimoja cha zamani zana. Mwaka 2015, JK wakati anatangaza Baraza lake la kwanza kabisa la Mawaziri, mara baada ya kusoma jina la mwisho kabisa kwenye orodha ya majina ya Mawaizri aliokuwa amewateua, alitamka maneno haya "KAPU LIMEFUNGWA, UWAZIRI HUWA HAUSOMEWI"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…