Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na aliyekuwa baba mwenye nyumba aliyokuwa amepanga wakati akiishi mkoani Singida

Amekumbuka kitu ambacho wengi wetu hatukikumbuki "kutembelea waliokupangisha" - nami nitaenda manyoni kwa Langibouri, Emma, na Mwl Mwandezi.

Lkn tukipata madaraka tuwakumbuke pia kubadili hali zao za maisha
 
Singida wavivu sana kujenga nyumba,hiyo nyumba ya tope,halafu ni ya miaka ya 70 lakini bado ipo katikati ya mji,,
Mjini kati kuna mitaa kibao yenye nyumba za aina hiyo
 
Sasa ndio ukute baba mwenye nyumba alikuwa anadai kodi kibabe sijui anajisikiaje hapo halafu hivi eti marais wastaafu huwa wanaongozana na walinzi wangapi wakiwa kwenye mishe zao
 
Lazima uwe na akili nyingi Sana kujuwa hii picha na maana yake. Asante Mzee. Upo vizuri.
 
Usije ukakuta Baba Mwenye Nyumba aliwahi kuwa Baba Mkwe kwa muda nyakati hizo bila ya kujijua na pengine Ukwe ndio umemvutia Mzee Kikwete kuja kusabahi
Baba mwenye nyumba ni wa kumheshimu, anajua siri nyingi. Anajua michepuko yote ambayo Jakaya alikuwa anaiingiza.

Mizigo ya kila aina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…