Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na aliyekuwa baba mwenye nyumba aliyokuwa amepanga wakati akiishi mkoani Singida

kukumbuka uliko toka inaongeza nguvu mpya za mwili na akili na unajihisi kijana mwenye nguvu zaidi.
tujenge utamaduni wa kukumbuka kwa kutembelea mapito yetu inasaidia sana
 
Kumbe Kikwete nae aliwahi kupanga na kuwa kwake serikalini miaka yote, kweli maisha ni safari nitafika tu.
Wafanyakazi wote wa serikalini huanzia maisha kwenye nyumba zao?! Sikulijua hili!
 
Hili tukio limenikumbusha mbali sana. Mwaka 2009, nimeenda Singida na mzee wangu kukagua nyumba yake, nilipozaliwa humo miaka 40 iliyopita, wapangaji wamemsumbua kulipa kodi anaigeuza lodge. Sasa mikoani TV wanatumia cable, tukaelekezwa kampuni ya cable inaitwa Faisal ya msomali fulani hivi, kufika mmiliki anatupokea, hamadi ni baba mwenye nyumba wa mzee kabla hajajenga nyumba hii anayoigeuza lodge. Stori zilizofata hapo hata kilichotuleta kikasahauliwa. Kweli kuishi vizuri na watu ni akiba isiyooza!
 
Ni baraka Sana kuwakumbuka wazee. Hongera jmk
Baba mwenye nyumba huyo anaenda kwa Jina la Mzee Andrew na mkazi wa Singida

Mzee Kikwete na familia yake waliamua kumtembelea Mzee huyo ili kumjuliana hali na kukumbushana ya miaka mingi!

Ikumbukwe kuwa Mhesh Kikwete pia ni Mwenyekiti Mstaafu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kabla ya kumkaribisha wadhifa huo Mhesh John Pombe Magufuli

Ka JK kana mbwembwe haka kazee!
 
Kamsaidia nini huyo mzee au porojo za waswahili kama kawaida yao.
 
Dogo ebu piga picha, CCM hawana ubongo na wanashindana wanashinda kwa KISHINDO! Jiulize hao walioshindwa wana nini vichwani mwao!
Jomba uchaguzi uliopita hata kushindana waliogopa na kuleta kura feki, au hilo pia hulijui mkuu?
 
Mm baba mwenye nyumba nilimtandika makofi sijui kama nikiwa Rais kama nitaenda kumsalimia maana nitampiga tena mitama
 
Hili tukio limenikumbusha mbali sana. Mwaka 2009, nimeenda Singida na mzee wangu kukagua nyumba yake, nilipozaliwa humo miaka 40 iliyopita, wapangaji wamemsumbua kulipa kodi anaigeuza lodge. Sasa mikoani TV wanatumia cable, tukaelekezwa kampuni ya cable inaitwa Faisal ya msomali fulani hivi, kufika mmiliki anatupokea, hamadi ni baba mwenye nyumba wa mzee kabla hajajenga nyumba hii anayoigeuza lodge. Stori zilizofata hapo hata kilichotuleta kikasahauliwa. Kweli kuishi vizuri na watu ni akiba isiyooza!
Mkuu so wew una miaka 40+?
 
Baba mwenye nyumba huyo anaenda kwa Jina la Mzee Andrew na mkazi wa Singida

Mzee Kikwete na familia yake waliamua kumtembelea Mzee huyo ili kumjuliana hali na kukumbushana ya miaka mingi!

Ikumbukwe kuwa Mhesh Kikwete pia ni Mwenyekiti Mstaafu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kabla ya kumkaribisha wadhifa huo Mhesh John Pombe Magufuli

Miaka yote kawa waziri na rais hakumkumbuka
 
Back
Top Bottom