peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mzee wetu simsikii wala haonekani.
Nimeuliza tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Raisi mstaafu hana majukumu ya kila siku achani apumzike, wanao tamani kujua washawishi wake na kupendwa kwake subirini 2025 wakati wa kampeini ya kurejesha Rais ikuluMzee wetu simsikii wala ha onekana!!!
Nimeuliza tu, Hata uzi ukifitwa nimezoea
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Akiongea mnasema anaendesha nchi kutokea Msoga
Mara waseme mstaafu asietaka kustaafu🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Yupo Dubai anaweka ma dili sawa. Vipi, unammiss?Mzee wetu simsikii wala ha onekana!!!
Nimeuliza tu, Hata uzi ukifitwa nimezoea
Acha kuposha huma au kisa nyumbn kwako unashikiwa rimoti na jiraniNdio mshika rimoti almaarufu dalali wa dii pii weldi
Thread closed [emoji357]Yupo Dubai anaweka ma dili sawa. Vipi, unammiss?
Hawez onekana katika hili, maana tayari anajua watanzania wanajua yeye ndio dereva.