brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Taarifa kutoka DR Congo zinasema Rais mstaafu wa DR Congo Joseph Kabila, atagombea nafasi ya urais wa klabu ya AS Vita katika uchaguzi mkuu utakayofanyika mwezi ujao. Atapambana na rais wa sasa wa klabu hiyo Amissi Tango na akishinda atahudumu had mwaka 2023. Iwapo atashinda Kabila atapambana na Moise Katumbi mwekezaji wa klabu ya TP Mazembe kwenye masuala ya Mpira.
Kabila amepania kupambana na hasimu wake Moise Katumbi aliekuwa anaishi uhamishoni wakati yupo madaraki
Kabila amepania kupambana na hasimu wake Moise Katumbi aliekuwa anaishi uhamishoni wakati yupo madaraki