Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya tarehe 9 Agosti 2022
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa Kiongozi ya Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Mulatu Teshome, Rais Mstaafu wa Ethiopia na Kiongozi wa Timu ya Mamlaka ya Kiserikali kuhusu Maendeleo (IGAD) ya Uangalizi wa Uchaguzi nchini Kenya.