Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kakupiga nini?Mpigaji nae amepata dili la kusimamia uchaguzi hakika Africa ni majanga matupu
Acha uji****a wakoMpigaji nae amepata dili la kusimamia uchaguzi hakika Africa ni majanga matupu
Hii nafasi Magufuri angepewa na nani,chema chajiuza kibaya chajitembeza.View attachment 2315206View attachment 2315207View attachment 2315208View attachment 2315209
Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Fred Matiangβi, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya tarehe 9 Agosti 2022
View attachment 2315213View attachment 2315214View attachment 2315215View attachment 2315216
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa Kiongozi ya Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Mulatu Teshome, Rais Mstaafu wa Ethiopia na Kiongozi wa Timu ya Mamlaka ya Kiserikali kuhusu Maendeleo (IGAD) ya Uangalizi wa Uchaguzi nchini Kenya.
Huyo ni mheshimiwa wewe baki kubwabwaja na mambo ya mwendakuzimu.Mpigaji nae amepata dili la kusimamia uchaguzi hakika Africa ni majanga matupu
DemokrasiaKaenda kuangalizia au kujifunza. JE akirudi atashauri nini kwa wenye nchi.
Itakuwa kapigwa kwenye boksaKakupiga nini?
Akili kubwa ya kuua watu , angemuacha apambane naemastermind the akili kubwa uishi miaka mingi Zaid
That he will go by the same path asSISYPHUS the King of Corinth, was once dubbed a smartest man in all of Greece.
He cheated the god of death Thanatos, and made fool of the gods of Olympus..
But like any other greedy ruler before him, he eventually ran out of tricks...
hili libabu ni lihandsamu