Rais Mstaafu Kikwete, akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya akutana na Wageni mbalimbali


Zimeanza codes Tena?!by the way namuombea JK maisha marefu na yenye afya tele.

Nampenda Sana huyu mzee kwa namna alivyo fundi wa kuchukua kitu chochote kwa mtu yeyote kwa muda anaoutaka yeye!
Hata Kama atastaafishwa,nafikiri nna mengi ya kujifunza kwa huyu mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…