Beauty Eva Senior Member Joined Jul 22, 2016 Posts 131 Reaction score 374 Sep 19, 2021 #21 mama D said: Anachoongea sasa kinasaidia nini????? Au keshapewa kibali cha kubadili mfumo? Kwanini hakuongea miaka yote hiyo?? Hakujua hayo mapungufu?? Acha unafki Frank Wanjiru [emoji41][emoji41][emoji41] Click to expand... Ameshauri!! Wenye kumsikia, watamsikia.
mama D said: Anachoongea sasa kinasaidia nini????? Au keshapewa kibali cha kubadili mfumo? Kwanini hakuongea miaka yote hiyo?? Hakujua hayo mapungufu?? Acha unafki Frank Wanjiru [emoji41][emoji41][emoji41] Click to expand... Ameshauri!! Wenye kumsikia, watamsikia.
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Sep 19, 2021 #22 Daudjuma said: Wewe ulikuwa Rais wa Tls,kwani unachokieleza hukukiona wakati ukiwa Rais? Click to expand... T L S ni chama cha wanasheria hakina mamlaka yoyote serikalini, hicho alichokisema ni maoni yake binafsi sawa na ambavyo wewe ungesema, members wa JF tujifunze kufuatilia mambo muhimu tusikalie kubishana tu.
Daudjuma said: Wewe ulikuwa Rais wa Tls,kwani unachokieleza hukukiona wakati ukiwa Rais? Click to expand... T L S ni chama cha wanasheria hakina mamlaka yoyote serikalini, hicho alichokisema ni maoni yake binafsi sawa na ambavyo wewe ungesema, members wa JF tujifunze kufuatilia mambo muhimu tusikalie kubishana tu.