Rais Mstaafu wa Congo, Joseph Kabila ahukumiwa kifo na mahakama ya Kijeshi nchini humo

Rais Mstaafu wa Congo, Joseph Kabila ahukumiwa kifo na mahakama ya Kijeshi nchini humo

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Mahakama ya kijeshi DRC imemhukumu kifo aliyekuwa Rais Joseph Kabila, ikimtia hatiani kwa usaliti na uhalifu dhidi ya binadamu.

Chama chake PPRD kimesema kesi hiyo ni ya kisiasa dhidi ya mpinzani mkubwa wa serikali.

Mahakama ya kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imemhukumu kifo aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Joseph Kabila, bila mwenye kuwepo, baada ya kumtia hatiani kwa makosa kadhaa mazito yakiwemo usaliti na uhalifu dhidi ya binadamu.

Hukumu hiyo imetolewa Jumanne na Luteni Jenerali Joseph Mutombo Katalayi, aliyesimamia shauri hilo katika mji mkuu Kinshasa. Jaji huyo alisema Kabila, mwenye umri wa miaka 54, amepatikana na hatia katika mashtaka yanayojumuisha usaliti, mauaji, unyanyasaji wa kingono, mateso na uasi.

Kabila, ambaye aliitawala DRC kuanzia mwaka 2001 hadi 2019, aliondoka nchini humo mwaka 2023. Hata hivyo, mwezi Mei mwaka huu alionekana kwa muda mfupi katika maeneo ya mashariki ya nchi hiyo yanayodhibitiwa na waasi wa M23

kabila.png


===================================

Former Democratic Republic of Congo president Joseph Kabila was sentenced to death in absentia on Tuesday by a military court that convicted him of war crimes, treason, and crimes against humanity.

The case stems from his alleged role in backing the advance of Rwanda-backed M23 rebels in Congo's volatile east. Kabila, who led Congo from 2001 to 2019, has denied wrongdoing and said the judiciary has been politicised.

Lieutenant-General Joseph Mutombo Katalayi, presiding over the tribunal in Kinshasa, said Kabila was found guilty of charges that included murder, sexual assault, torture, and insurrection.

Kabila did not attend the trial and was not represented by legal counsel. Neither he nor his representatives were immediately available for comment. His whereabouts were not immediately known

The verdict could fuel further divisions in the vast mineral-rich central African nation that has endured decades of conflicts.

Kabila spent almost two decades in power and only stepped down after deadly protests against him. Since late 2023, he has been residing mostly in South Africa, though he did appear in rebel-held Goma in eastern Congo in May.

He entered into an awkward power-sharing deal with his successor, Felix Tshisekedi, but their relationship soon soured.

As M23 marched on east Congo's second-largest city of Bukavu in February, Tshisekedi told the Munich Security Conference that Kabila had sponsored the insurgency.

Source: Reuters
 
Kabila, ambaye aliitawala DRC kuanzia mwaka 2001 hadi 2019, aliondoka nchini humo mwaka 2023. Hata hivyo, mwezi Mei mwaka huu alionekana kwa muda mfupi katika maeneo ya mashariki ya nchi hiyo yanayodhibitiwa na waasi wa M23
 
Hiki kipengele Cha kuwaadabisha waharifu kiwepo Kwenye katiba mpya ijayo ya nchini malawi, very very important
 
Kabila, ambaye aliitawala DRC kuanzia mwaka 2001 hadi 2019, aliondoka nchini humo mwaka 2023. Hata hivyo, mwezi Mei mwaka huu alionekana kwa muda mfupi katika maeneo ya mashariki ya nchi hiyo yanayodhibitiwa na waasi wa M23
Mbaga Jr
 
Back
Top Bottom