mahakama ya kijeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Samia akikamatwa kama asipomaliza ashtakiwe kwa kosa la kuihujumu Jamhuri ya Muungano ktk Mahakama ya Kijeshi

    Ukiwa kiongozi wa Nchi kosa kubwa zaidi unaloweza kulifanya ni kuingiza askari wa kigeni kuua raia wako. Kosa alilolifanya samia kuchukua askari wa Uganda kuua watanzania ili abaki madarakani ni kosa kubwa zaidi kuwahi kufanywa na kiongozi yeyote yule. Askari hao wa Uganda wanatumia facilities...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Congo, Joseph Kabila ahukumiwa kifo na mahakama ya Kijeshi nchini humo

    Mahakama ya kijeshi DRC imemhukumu kifo aliyekuwa Rais Joseph Kabila, ikimtia hatiani kwa usaliti na uhalifu dhidi ya binadamu. Chama chake PPRD kimesema kesi hiyo ni ya kisiasa dhidi ya mpinzani mkubwa wa serikali. Mahakama ya kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imemhukumu...
  3. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania "Mwendesha Mashtaka DRC aomba Hukumu ya Kifo kwa Kabila kwa kushirikiana na Waasi wa M23 Mashariki mwa Congo

    Mahakama ya kijeshi Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, leo Septemba 30 imemuhukumu aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo Joseph Kabila adhabu ya kifo baada ya kupatikana na hatia ya uasi na makosa mengine kadhaa. Mwendesha mashtaka wa Serikali aliiomba Mahakama itoe hukumu ya kifo dhidi yake baada...
  4. S

    JamiiForums Tanzania MTanzania Badru Hamisi apandishwa kwenye mahakama ya kijeshi nchini Somalia.

    Kuna Mtanzania amekamatwa somalia kwa tuhuma ya kujihusisha na kundi la Al shabaab.Amepandishwa kwenye mahakama ya kijeshi siku ya jana na endapo mahakama ikijirizisha ndugu yetu huyu huenda atapewa adhabu ya kuuliwa.
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya kijeshi yatoa hati kiongozi wa AFC/M23 Corneille Nangaa akamatwe

    Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa umoja wa makundi ya waasi nchini humo ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), Corneille Nangaa. Shirika la Habari la AP limeripoti leo Februari 7, 2025, kuwa mahakama ya kijeshi nchini humo...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mahakama ya kijeshi Uganda imepigwa marufuku kusikiliza kesi za kiraia

    Mahakama ya juu nchini Uganda imeamuru kuwa kesi zote zinazowahusu raia ambazo zilikuwa zikisikilizwa katika mahakama za kijeshi zisitishwe mara moja na kuhamishiwa katika mahakama za kawaida. Uamuzi huo umetolewa na jopo la majaji saba, likiongozwa na Jaji Mkuu Alfonse Owing Dollo, ambao...
Back
Top Bottom