MTanzania Badru Hamisi apandishwa kwenye mahakama ya kijeshi nchini Somalia.

MTanzania Badru Hamisi apandishwa kwenye mahakama ya kijeshi nchini Somalia.

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
695
Reaction score
1,817
Kuna Mtanzania amekamatwa somalia kwa tuhuma ya kujihusisha na kundi la Al shabaab.Amepandishwa kwenye mahakama ya kijeshi siku ya jana na endapo mahakama ikijirizisha ndugu yetu huyu huenda atapewa adhabu ya kuuliwa.
 

Attachments

  • AQPgFVHz-L3Oby2r_80yA9pVXyxylMwygnFdJxsadHBvbAT06dctSMBFH5URvyH6rWzIMLBHtsYBZLxA4jUh1YPu4rWqn-...mp4
    34.3 MB
  • AQObMwimgMvKTc54AwBSVzbrImaTk54wrhJRqPKBopRBviBLWjHahcvxpGcpOcbiTZSUMSGGyD4wcwlWnXKAvGrtyeA2vx...mp4
    26 MB
Hii ndiyo kesi , inaoneshwa mubashara. Uraia wake unaweza kuwa wa Uganda au Tanzania.

Hongera kwa serikali ya Mogadishu kuendesha kesi mubashara.
 
Huyo sio Mtanzania
Hajui Kiswahili vizuri
 
TOKA MAKTABA :

Kiongozi wa Diaspora ya waTanzania nchini Somalia akutana na waziri Kombo mjini Mogadishu


View: https://m.youtube.com/watch?v=sDAriRy2LYQ
Waziri Kombo afurahia kupewa taarifa kuhusu uwepo wa diaspora kubwa ya waTanzania nchini Somalia wakifukuzia fursa ... waziri Kombo asisitiza wana Diaspora kujisajili ili serikali kupata takwimu sahihi zitakazo wezesha kutunga sera rafiki kwa wanaDiaspora,..
 

Somali Spy Agency NISA and Tanzania's TISS Sign Counterterrorism MoU​

Evarist Chahali
Dec 23, 2024

1758980588468.jpeg

Spy chief: Somali’s Abdullahi Mohamed Ali (Shanbaloolshe) and his Tanzanian counterpart Selemani Mombo after signing a counterterrorism MOU in Mogadishu on December 19, 2024 (Photo/ SNTV News)

Habari kwa kina Somalia:

Idara ya Taifa ya Ujasusi na Usalama (NISA) ya Somalia limetia saini makubaliano na Idara ya Ujasusi na Usalama ya Tanzania,(TISS) ambayo yatashuhudia pande hizo mbili zikishirikiana katika kukabiliana na ugaidi.

Mkataba huo ulitiwa saini mjini Mogadishu wakati wa mkutano kati ya mkurugenzi wa NISA Abdullahi Mohamed Ali na mwenzake wa Tanzania Suleiman Abubakar Mombo ambapo majadiliano yao yalilenga katika kuimarisha ubadilishanaji wa taarifa muhimu na kijasusi, muhimu kwa ajili ya kuboresha usalama katika eneo hilo.

Kutiwa saini kwa MoU kunaashiria hatua kubwa katika juhudi zinazoendelea za mashirika yote mawili kufanya kazi pamoja katika kushughulikia changamoto za pamoja za usalama na kukuza mazingira salama kwa nchi zao.

Ziara ya maafisa wa kijasusi wa Tanzania nchini Somalia inaakisi dhamira ya mataifa yote mawili ya kuimarisha ushirikiano wao na kubadilishana mbinu bora katika shughuli za kijasusi na usalama. SOMA KWA KINA :
 

Somali President Urges Global Rules on Artificial Intelligence at UN Security Council​

Storyline:National News, World

September 25, 2025
HSM-AT-un-1600x1086.jpg

GOOBJOOG NEWS| NEW YORK: Somali President Hassan Sheikh Mohamud has called for international regulations on artificial intelligence (AI), warning that while new technologies offer unprecedented opportunities for peace and development, they also pose risks to global security.

Addressing the United Nations Security Council on Thursday, Mohamud said AI is “a modern reality that is rapidly changing life, the economy and international security methods.” He emphasized that without clear rules, advances in AI could deepen global inequalities and destabilize fragile states.

“The world must establish international rules and policies to guide AI services,” Mohamud told the Council. “It is necessary to ensure equality of modern technology to all countries in the world.”

The Somali leader said AI’s potential goes beyond economic growth, noting that it can be used to strengthen peacekeeping, early warning systems, and development planning. But he cautioned that the same technology could be exploited to fuel conflict, spread disinformation, and undermine sovereignty.

Mohamud’s remarks come as debates intensify at the UN over how to regulate emerging technologies. The Security Council has in recent months heard growing concerns from member states about the use of AI in warfare, cyber operations, and political influence campaigns.

For Somalia, the issue carries particular weight. The country has struggled for decades with conflict and terrorism, but its leaders increasingly see digital technology as a tool for rebuilding governance and integrating into the global economy. At the same time, officials worry that unchecked AI could worsen instability by empowering armed groups or eroding fragile institutions.

The president’s appeal aligns with calls from other African leaders for a more inclusive global conversation on technology governance. Many argue that developing countries risk being left behind—or exploited—if global standards are set without their input.

Mohamud also urged the Council to recognize AI not just as a technological challenge, but as a shared responsibility for international peace and security.
 
Back
Top Bottom