Rais wa Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye amemtunuku medali Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikwete kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani nchini Burundi.
Chanzo: ForeignTanzania
Sisi akina Mzukulu tunaomba tuambiwe haraka kama Rais Mstaafu huyu Jakaya Mrisho Kikwete ana Vinasaba vya Uhutu kutoka nchini huko Burundi.
Rais wa Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye amemtunuku medali Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikwete kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani nchini Burundi.
Chanzo: ForeignTanzania
Sisi akina Mzukulu tunaomba tuambiwe haraka kama Rais Mstaafu huyu Jakaya M Kikwete ana Vinasaba vya Uhutu kutoka nchini huko Burundi.
Aaah, mkuu, imebidi nikuheshimu tu kwa elimu hii hata kama sijui ukweli wake.CHAPISHO zuri lakini muda umekwenda...
Mpwaa naona unatutafuta ubaya wee kwi kwi kwi....
Kwa harakaharaka;
Wahutu Wahutu Wahutu Wahutu
Miaka mingi nyuma huko,baadhi ya WAAFRIKA WEUSI TII waliokuwa WANAISHI CAMEROON ya sasa waliamua kutafuta maeneo mengine yenye rutuba na Hali ya hewa nzuri.
Kama KAWAIDA ya misigano ya Koo na Vita vya kikabila,msukumo huo ULIWAFIKISHA MAENEO YA GABON,wengine walifika afrika ya Kati,wengine wakafika eneo la Kongo ya Brazaville,Ruanda na Urundi ya sasa na wengi wakafikia misitu ya Kongo Kinshasa.
WATU HAWA NDIO WALIOKUJA KUITWA WABANTU...
WABANTU wakasambaa mashariki na kusini mwa ziwa Tanganyika,wakazaliana hapa Tanganyika,Uganda,Kenya,Zambia,Malawi,Msumbiji,Zimbabwe,Lesotho,Eswatini,Namibia mpaka Afrika ya kusini.
Makabila yote ya Tanzania kasoro machache kabisa yakaieneza asili yao ya UBUNTU.....
KIASILI WABANTU NI WAFUGAJI ILA SI KWA UKUBWA SANA.HAWA WANAISHI KWA KUWINDA,KURINA ASALI NA KULIMA.
Ukiwaangalia utauona wajihi wao wa weusi wa RANGI ya kukoza, KAVU ISIYOMETAMETA.Wana vimo vifupi,vifua vipana,mikono yenye nguvu,kule juu shingo zao ni fupi,vichwa vikubwa na mviringo,usoni pua kubwa pana na bapa.Macho yao madogo na ya saizi ya Kati,pia ya rangi nyeusi.Wana nywele nyeusi,kavu na kipilipili.
NITAENDELEA
Hata kumbukumbu ya muda mfupi hivi ni shida kwako?Rais wa Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye amemtunuku medali Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikwete kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani nchini Burundi.
Chanzo: ForeignTanzania
Sisi akina Mzukulu tunaomba tuambiwe haraka kama Rais Mstaafu huyu Jakaya M Kikwete ana Vinasaba vya Uhutu kutoka nchini huko Burundi.
Ha haha! Hii ndio JF home of great thinkers ilivyo kuwa kabla haijavamiwa na vibaka! Watu wanauwezo wa kuelewa tofauti ya Coca na Pepsi hata zikiwa kwenye glassKitu nakukubali mkuu ni kutobakia na jina moja la kampuni kwa muda mrefu! Huwa unaweza kubadili badili jina la kampuni ili usipigwe kodi kubwa. Lakini mtu akipata huduma yako anagundua ladha ile ile kwa jina la ile kampuni nyingine. Hii inasaidia sana hasa kwa mazingira ya demokrasia yetu. Acha sisi tubakie na majina ya kampuni zetu ya muda mrefu hapa jukwaani.
Ni protokali tu mkuuSisi akina Mzukulu tunaomba tuambiwe haraka kama Rais Mstaafu huyu Jakaya M Kikwete ana Vinasaba vya Uhutu kutoka nchini huko Burundi.
ππππππKama wewe ni mbantu, basi hata wewe, by definition, ni mhutu! π
π€£π€£Hata kumbukumbu ya muda mfupi hivi ni shida kwako?
Mara hii umesahau mapinduzi ya Godfrey (sijui ndilo jina lake?) na chimbuko lake lilitokea wapi?
Hata ile ahadi ya tishio la 'I will hit him' kwako lilishasombwa na maji?
Tunaposemwa kuwa na akili kama za kuku anayetupiwa mtama ili achinjwe tunalalamika; lakini huo ndio ukweli wenyewe.
Nakukumbuka mkuu 'Mzukulu'; sasa sijui kama mada yako hii ni mwendelezo wa yale tuliyojibizana huko nyuma, hiyo sijui!
Ndugu yangu nakushukuru kwa heshima uliyonipa.Aaah, mkuu, imebidi nikuheshimu tu kwa elimu hii hata kama sijui ukweli wake.
Lakini nina swali moja: Ilikuwaje chimbuko lao la asili likawa sehemu moja hiyo ya CAMEROON? Hakuna sehemu nyingine?
Itapendeza kama utatuwekea na 'reference' ya haya ili nasi tukazame huko.
Mnauzi sana maana hamna kumbukumbu! Nkurunziza alipinduliwa akiwa Tanzania. Kikwete akampatia makomandoo wakapitia Ngara na asubuhi yake alikuwa ikulu Bujumbura na hakutoka hadi kifo chake
Pole sana maana ajenda yako imepwayaMnauzi ndiyo Kiswahili cha wapi hiki? Mimi nijuavyo Kiswahili Fasaha ni Mnaudhi. Imarisha Kwanza Kiswahili chako kama hujakurupuka Kuchangia.