Uchaguzi 2020 Rais mtarajiwa 2020 yuko safarini kurudi nyumbani

Uchaguzi 2020 Rais mtarajiwa 2020 yuko safarini kurudi nyumbani

Sasa mbona hajavaa barakoa?
Mkuu, kumbe Mbatia na Lipumba ni CCM wenzetu?

ccm.jpg
 
Hiyo ni ile Kipindi anaenda Marekani kabla ya Covid-19. Tundu Lissu hana uwezo wa kupata kura za URAIS zaidi ya asilimia 2% na watakao mpigia kura ni wale wenye ubovu wa kufikilia.
Kama huo ni ukweli wekeni Sanduku la kura muone idadi ya Watanzania wenye ubovu wa kufikiri ilivyo kubwa. Mradi uchaguzi uwe huru na wa haki.
 
Back
Top Bottom