Uchaguzi 2020 Rais mtarajiwa 2020 yuko safarini kurudi nyumbani

Uchaguzi 2020 Rais mtarajiwa 2020 yuko safarini kurudi nyumbani

ana check in hata bag dogo hana anarudi lofa mikono mitupu na nguo alizovaa za mitumba tu
 
Nipo tayari hata kura yangu iharibikie kwa huyu mwanasheria! Aje atusaidie kufuta utitiri wa sheria mbovu na kandamizi! Imefika mahala wanajitungia hadi sheria za kuwakinga kwa maovu wanayoyafanya kuvunja katiba waliyoapa kuilinda! ......Huko tuendako sipati picha kuna sheria zinawenzatungwa kutaka watoto wao waingie bungeni na wizarani bila kupingwa, kisa babake alikuwa president au Pm!
 
Sipingi,ila kuna vitu vinajulikana na vinaonekana wazi kabisa haviwezekani,ila bado mtu anakaza mishipa,anakomaa navyo,ni kupoteza mda kiukweli.
 
Back
Top Bottom