Uchaguzi 2020 Rais mtarajiwa 2020 yuko safarini kurudi nyumbani

Uchaguzi 2020 Rais mtarajiwa 2020 yuko safarini kurudi nyumbani

Hiyo ni ile Kipindi anaenda Marekani kabla ya Covid-19. Tundu Lissu hana uwezo wa kupata kura za URAIS zaidi ya asilimia 2% na watakao mpigia kura ni wale wenye ubovu wa kufikilia.
Magufuli hana uwezo wakupata hata hizo ulizozitaja badala yake atatumia nguvu za dola maana ndilo kimbilio lake.
 
Amiri jeshi mkuu
Sasa atakaguaje gwaride wakati yeye ni unfit!
 
Back
Top Bottom