Uchaguzi 2020 Rais mtarajiwa 2020 yuko safarini kurudi nyumbani

Hiyo ni ile Kipindi anaenda Marekani kabla ya Covid-19. Tundu Lissu hana uwezo wa kupata kura za URAIS zaidi ya asilimia 2% na watakao mpigia kura ni wale wenye ubovu wa kufikilia.
Kama huo ni ukweli wekeni Sanduku la kura muone idadi ya Watanzania wenye ubovu wa kufikiri ilivyo kubwa. Mradi uchaguzi uwe huru na wa haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…