Binadamu mwenye akili timamu hawezi "kufikilia".Hiyo ni ile Kipindi anaenda Marekani kabla ya Covid-19. Tundu Lissu hana uwezo wa kupata kura za URAIS zaidi ya asilimia 2% na watakao mpigia kura ni wale wenye ubovu wa kufikilia.
Hoja yako ina kama kaukweli vile.........Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.
Sasa mbona hajavaa barakoa?
Kwahiyo unamsengenya mzee baba?Sasa mbona hajavaa barakoa?
Mbona mnaogopa? wekeni siraha chini tushinadane kwa hoja!Mnatumia nguvu nyingi kupinga Tume huru,NHiyo ni ile Kipindi anaenda Marekani kabla ya Covid-19. Tundu Lissu hana uwezo wa kupata kura za URAIS zaidi ya asilimia 2% na watakao mpigia kura ni wale wenye ubovu wa kufikilia.
Mungu yumwema
Rais wa Vibendera hapo Sawa
ana check in hata bag dogo hana anarudi lofa mikono mitupu na nguo alizovaa za mitumba tu
Utawauwa watu kwa presha wewe
Kwani uchaguzi wa chama cha walemavu tanzania(chachawata) umekaribia??
Mbona haujanijibu ndugu kwani uchaguzi wa chachawata umekaribia??Mungu akurehemu.