Ni nafasi zipi haswa ungetaka zitangazwe? Kumbuka kuna nafasi za kuteuliwa na nafasi zingine ni mtu anapanda cheo within the ranks of the civil service. Kazi nyingi serikalini ni mtu ana pandishwa cheo.
Kulinganisha Tanzania na Marekani kwenye hili ni makosa. Kwanza mifumo yetu tofauti na pili Marekani ina bureaucracy kubwa kuliko yakwetu. Kwa hiyo taja hapa hizo nafasi zilizo tangazwa wazi na Obama halafu tuangalia kama:
1)hizo kazi zipo available Tanzania
2)Tuna utaratibu gani wa kutoa hizo nafasi
3)Je jinsi ya kutoa hizo kazi zinaendana na mfumo wetu?