Mshiiri
JF-Expert Member
- Jun 16, 2008
- 2,012
- 512
Hivi mbona rais wa Tanzania naye hatangazi nafasi za kazi tukaapply au hao waliopo wanaendelea kuwapo ikiwa hawajachujwa kwa kiwango ndo maana wanafisadi? Hebu angalia baada ya kuapishwa Obama mara moja ishu ikawa out wazee wakajichukulia ajira . https://app2.whitehouse.gov/ppo/paper_app/Presidential_Appointments_Application.pdf Nchi nzima! Ama kwa njia hii ajira walau milioni tano kwa Tanzania zingezaliwa.