Hivi karibuni akiwa anaongea kwenye kipindi cha Meet The Press, amesema kuwa kwa sababu nchi wanachama wa NATO hawanunui bidhaa kutoka Marekani basi anafikiria kujitoa kwenye umoja huo wa kijeshi.
Ikumbukwe kuwa Marekani ndio "contributor" mkubwa kwenye NATO kwa hiyo kujitoa kwa nchi hiyo kutaathiri moja kwa moja organization hiyo.
Yaani wakati China, Urusi na India wanaungana pamoja na kuwa kitu kimoja kwenye BRICS, Trump anaamua kuitoa Marekani kwenye NATO.
Hivi karibuni akiwa anaongea kwenye kipindi cha Meet The Press, amesema kuwa kwa sababu nchi wanachama wa NATO hawanunui bidhaa kutoka Marekani basi anafikiria kujitoa kwenye umoja huo wa kijeshi.
Ikumbukwe kuwa Marekani ndio "contributor" mkubwa kwenye NATO kwa hiyo kujitoa kwa nchi hiyo kutaathiri moja kwa moja organization hiyo.
Hivi karibuni akiwa anaongea kwenye kipindi cha Meet The Press, amesema kuwa kwa sababu nchi wanachama wa NATO hawanunui bidhaa kutoka Marekani basi anafikiria kujitoa kwenye umoja huo wa kijeshi.
Ikumbukwe kuwa Marekani ndio "contributor" mkubwa kwenye NATO kwa hiyo kujitoa kwa nchi hiyo kutaathiri moja kwa moja organization hiyo.
Nilivyoelewa mimi mpango wake kuwashawishi wanachama wa Nato nao washiriki vita vya kiuchumi dhidi ya China sababu kila mwaka wanaongeza manunuzi ya bidhaa kwa China huku kule Marekani yanapungua.
Deep state section ya war veterans mbupu zimebana kwa kukosa kivuli Cha Serikali.
Enemy within ( Anayeiondoa nchi kwenye migharama isiyo na tija yenye manufas kwa wachache ).

BRICS ni jumuiyabya Kibiashara wakati NATO ni jumuiya ya KIJESHI. Hivyo, Rusia, Chia na India kuungana na USA kuiondoa NATO hakuna uhusiano wowote na madhara ya kibiashara. Sana sana nchi za Ulaya ndo zitakuwa zimepata Uhuru kutoka Ukoloni wa MAREKANI uliodumu Kwa zaidi ya Miongo Saba

Jamaa ana akili sana nato imechangia pakubwa kwa marekani kupoteza heshima duniani...pia marekani kawashitukia NATO kuwa wanataka kuingiza marekani kwenye kuangamizwa na urusi ...maana mrussi akiingia vitani na NATO basi uwanja wa vita utakuwa ni USA zaidi