Brown Ambo
Member
- Nov 12, 2017
- 98
- 312
Kweli wanazo economic organizations nyingi ila DT ameona awakabe kwenye Nato sababu zaidi ya nusu kuanzia bajeti,nguzu kazi na vifaa vinavyotumiwa na Nato anaechangia ni Marekani.Wana economic organizations na unions nyingi btn US and EU kwanini asingebana huko anaenda kwenye military alliance ya muhimu kama NATO?
Kwaiyo haiwezekani USA inatumia zaidi kodi za raia wake kuwalinda halafu wanachama wa Nato wanunue bidhaa zaidi kwa China Kuliko Marekani.
