Rais mteule, Donald Trump amesema yuko mbioni kujiondoa NATO

Rais mteule, Donald Trump amesema yuko mbioni kujiondoa NATO

Ukoloni?

Marekani anaitawalaje Ulaya?
Siyo Ulaya tu. MAREKANI anaitawala Dunia Kwa sehemu kubwa sana. Sema anaitawala Ulaya na Dunia tangu baada ya vita vya vipi vya Dunia. Sema yeye anaitawala Kisayansi zaidi. Japan ni kokoni lake yangu baada ya vita vya pili vya Dunia, Ujerumani Hali kadhalika na Ulaya yote kupitia kile alichokiita Marshall Plan baada tu ya vita vya pili.
 
Wakuu,

Hivi huyu baba Trump ana washauri kweli?

Hivi karibuni akiwa anaongea kwenye kipindi cha Meet The Press, amesema kuwa kwa sababu nchi wanachama wa NATO hawanunui bidhaa kutoka Marekani basi anafikiria kujitoa kwenye umoja huo wa kijeshi.

Ikumbukwe kuwa Marekani ndio "contributor" mkubwa kwenye NATO kwa hiyo kujitoa kwa nchi hiyo kutaathiri moja kwa moja organization hiyo.

View attachment 3173568

Yaani wakati China, Urusi na India wanaungana pamoja na kuwa kitu kimoja kwenye BRICS, Trump anaamua kuitoa Marekani kwenye NATO.

Nani anamshauri huyu mzee?

View attachment 3173567
ngozi nyeupe ya marekani ni laana na aliyewaloga kashakufa, in utopolo voice kutoka buza ndani ndani huko
 
Umuhimu wa NATO upo kwenye nini na dhidhi ya nani??!

Mkuu hoja yangu sio kwanini NATO ipo

Hoja yangu imejikita kwa Trump kutumia NATO kama bargaining chip kwenye mambo ya kiuchumi wakati NATO ni Military Alliance
 
Ajiondoe tu, sasa kama hakuna tishio toka soviet kuna haja gani ya kuwa na NATO? Uingereza yenyewe ilijiondoa euro sembuse marekani kujitoa NATO?
 
Wakuu,

Hivi huyu baba Trump ana washauri kweli?

Hivi karibuni akiwa anaongea kwenye kipindi cha Meet The Press, amesema kuwa kwa sababu nchi wanachama wa NATO hawanunui bidhaa kutoka Marekani basi anafikiria kujitoa kwenye umoja huo wa kijeshi.

Ikumbukwe kuwa Marekani ndio "contributor" mkubwa kwenye NATO kwa hiyo kujitoa kwa nchi hiyo kutaathiri moja kwa moja organization hiyo.

View attachment 3173568

Yaani wakati China, Urusi na India wanaungana pamoja na kuwa kitu kimoja kwenye BRICS, Trump anaamua kuitoa Marekani kwenye NATO.

Nani anamshauri huyu mzee?

View attachment 3173567
ni mpango mzuri na angalizo makini la kimkakati wakutanua wigo wa masoko ya kibishara kwa bidhaa kutoka marikani.

Bilashaka yoyote, NATO itasalimu amri, itachukua hiyo tahadhari kwa umuhimu mkubwa na kuinufaisha marekani kibiashara. NATO haitakubali kudhoofika, itafungua njia na kwakweli watanunua bidhaa za marekani 🐒
 
Hiyo ndiyo akili ...siyo huyu mpumbavu tuliye naye anaye thamini mabeberu na mwarabu na maji ya zamzam kuliko nchi yake

Hutaki Rais aende kutafuta fursa za kiuchumi nje?

Au kutafuta mikopo na misaada ku-fund ARVs mnazokunywa na mashimo ya choo ya watoto wenu ndio upumbavu?
 
Huyu jamaa nafikiri anatakiwa kutafutiwa impeachment.

Anafanya mambo kwa faida ya Urusi.
Urusi walimpa support kuwa Rais mwaka 2016 kwa malengo maalum,

Amempendekeza Director of National Intelligence(DNI) mwenye mahaba na Russia! Nchi za Ulaya washirika wa US wanajipanga kupunguza kuwapa vyombo ya ujasusi vya Marekani taarifa muhimu za kijasusi wasije wakauzwa.
 
Hata yule Mhindi aliyempendekeza kuwa mkuu wa FBI ni loyalist asiye na sifa.

Hawa watu wanatakiwa wakataliwe na bunge, na baadae wamuimpeach trump.

Nilisikia kichefuchefu kwny maneno ya Trump baada ya Assad kuondolewa, eti, ''...he may go on with the war forever, I KNOW VLADIMIL..''

Jinsi anavyoita hiyo first name utafikiri anasifia 'mumewe'.

Hadi Trump aondoke, Urusi itakuwa imenufaika sana na Marekani imepoteza nguvu ya ushawishi duniani.
 
Back
Top Bottom