Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Siyo Ulaya tu. MAREKANI anaitawala Dunia Kwa sehemu kubwa sana. Sema anaitawala Ulaya na Dunia tangu baada ya vita vya vipi vya Dunia. Sema yeye anaitawala Kisayansi zaidi. Japan ni kokoni lake yangu baada ya vita vya pili vya Dunia, Ujerumani Hali kadhalika na Ulaya yote kupitia kile alichokiita Marshall Plan baada tu ya vita vya pili.Ukoloni?
Marekani anaitawalaje Ulaya?
Kwann muingereza alijiondoa ?Ukoloni?
Marekani anaitawalaje Ulaya?
Umuhimu wa NATO upo kwenye nini na dhidhi ya nani??!Wana economic organizations na unions nyingi btn US and EU kwanini asingebana huko anaenda kwenye military alliance ya muhimu kama NATO?
Huyu jamaa nafikiri anatakiwa kutafutiwa impeachment.Trump ni Trojan Horse wa Warusi kwa Wamarekani
ngozi nyeupe ya marekani ni laana na aliyewaloga kashakufa, in utopolo voice kutoka buza ndani ndani hukoWakuu,
Hivi huyu baba Trump ana washauri kweli?
Hivi karibuni akiwa anaongea kwenye kipindi cha Meet The Press, amesema kuwa kwa sababu nchi wanachama wa NATO hawanunui bidhaa kutoka Marekani basi anafikiria kujitoa kwenye umoja huo wa kijeshi.
Ikumbukwe kuwa Marekani ndio "contributor" mkubwa kwenye NATO kwa hiyo kujitoa kwa nchi hiyo kutaathiri moja kwa moja organization hiyo.
View attachment 3173568
Yaani wakati China, Urusi na India wanaungana pamoja na kuwa kitu kimoja kwenye BRICS, Trump anaamua kuitoa Marekani kwenye NATO.
Nani anamshauri huyu mzee?
View attachment 3173567
Kuna kitu umekikosa rudia kupasoma.Kwamba Trump ni sehemu ya deep state?
Hiyo ndiyo akili ...siyo huyu mpumbavu tuliye naye anaye thamini mabeberu na mwarabu na maji ya zamzam kuliko nchi yakeAnaongea ukweli.
Chama anachotoka trump wanathamini Sana nchi Yao
anamaanisha trup ni kirusi cha urusi kinachoitafuna america.Una maana gani mkuu?
Uongo.Trump ni Trojan Horse wa Warusi kwa Wamarekani
ni mpango mzuri na angalizo makini la kimkakati wakutanua wigo wa masoko ya kibishara kwa bidhaa kutoka marikani.Wakuu,
Hivi huyu baba Trump ana washauri kweli?
Hivi karibuni akiwa anaongea kwenye kipindi cha Meet The Press, amesema kuwa kwa sababu nchi wanachama wa NATO hawanunui bidhaa kutoka Marekani basi anafikiria kujitoa kwenye umoja huo wa kijeshi.
Ikumbukwe kuwa Marekani ndio "contributor" mkubwa kwenye NATO kwa hiyo kujitoa kwa nchi hiyo kutaathiri moja kwa moja organization hiyo.
View attachment 3173568
Yaani wakati China, Urusi na India wanaungana pamoja na kuwa kitu kimoja kwenye BRICS, Trump anaamua kuitoa Marekani kwenye NATO.
Nani anamshauri huyu mzee?
View attachment 3173567
Putin alimpa support kuwa Rais mwaka 2016 akiwa na malengo maalumuUnamaanisha nini unaposema hivyo mkuu?
Au unamaanisha puppet?
Hiyo ndiyo akili ...siyo huyu mpumbavu tuliye naye anaye thamini mabeberu na mwarabu na maji ya zamzam kuliko nchi yake
Urusi walimpa support kuwa Rais mwaka 2016 kwa malengo maalum,Huyu jamaa nafikiri anatakiwa kutafutiwa impeachment.
Anafanya mambo kwa faida ya Urusi.
Ni kirusi cha Mrusi ndani ya White House ya MarekaniUna maana gani mkuu?
Hata yule Mhindi aliyempendekeza kuwa mkuu wa FBI ni loyalist asiye na sifa.Urusi walimpa support kuwa Rais mwaka 2016 kwa malengo maalum,
Amempendekeza Director of National Intelligence(DNI) mwenye mahaba na Russia! Nchi za Ulaya washirika wa US wanajipanga kupunguza kuwapa vyombo ya ujasusi vya Marekani taarifa muhimu za kijasusi wasije wakauzwa.