Brown Ambo
Member
- Nov 12, 2017
- 98
- 312
Kweli wanazo economic organizations nyingi ila DT ameona awakabe kwenye Nato sababu zaidi ya nusu kuanzia bajeti,nguzu kazi na vifaa vinavyotumiwa na Nato anaechangia ni Marekani.Wana economic organizations na unions nyingi btn US and EU kwanini asingebana huko anaenda kwenye military alliance ya muhimu kama NATO?
Umekiangalia hicho chanzo chako cha habari?Wakuu,
Hivi huyu baba Trump ana washauri kweli?
Hivi karibuni akiwa anaongea kwenye kipindi cha Meet The Press, amesema kuwa kwa sababu nchi wanachama wa NATO hawanunui bidhaa kutoka Marekani basi anafikiria kujitoa kwenye umoja huo wa kijeshi.
Ikumbukwe kuwa Marekani ndio "contributor" mkubwa kwenye NATO kwa hiyo kujitoa kwa nchi hiyo kutaathiri moja kwa moja organization hiyo.
View attachment 3173568
Yaani wakati China, Urusi na India wanaungana pamoja na kuwa kitu kimoja kwenye BRICS, Trump anaamua kuitoa Marekani kwenye NATO.
Nani anamshauri huyu mzee?
View attachment 3173567
Ndo waisome namba.Mkuu hoja yangu sio kwanini NATO ipo
Hoja yangu imejikita kwa Trump kutumia NATO kama bargaining chip kwenye mambo ya kiuchumi wakati NATO ni Military Alliance
ARV ni project yenye anjenda chafu ya kupunguza lifetime ya mwafrica ndiyo maana zinatolewa bure...usije kuniambia vipi zinapunguza lifetime badala ya kuongeza ndipo nitakapo kuita mpumbavu usiye na akili ....ARV ni.pasi ndefu ya kupunguza kizazi cha mtu mweusi na wengine walio kusudiwa..Hutaki Rais aende kutafuta fursa za kiuchumi nje?
Au kutafuta mikopo na misaada ku-fund ARVs mnazokunywa na mashimo ya choo ya watoto wenu ndio upumbavu?
Hata yule Mhindi aliyempendekeza kuwa mkuu wa FBI ni loyalist asiye na sifa.
Hawa watu wanatakiwa wakataliwe na bunge, na baadae wamuimpeach trump.
Nilisikia kichefuchefu kwny maneno ya Trump baada ya Assad kuondolewa, eti, ''...he may go on with the war forever, I KNOW VLADIMIL..''
Jinsi anavyoita hiyo first name utafikiri anasifia 'mumewe'.
Hadi Trump aondoke, Urusi itakuwa imenufaika sana na Marekani imepoteza nguvu ya ushawishi duniani.
Hwezi kulazimisha kununua bidhaa ghali ili hali kuna mbadalq wa bidhaa za bei rahisini mpango mzuri na angalizo makini la kimkakati wakutanua wigo wa masoko ya kibishara kwa bidhaa kutoka marikani.
Bilashaka yoyote, NATO itasalimu amri, itachukua hiyo tahadhari kwa umuhimu mkubwa na kuinufaisha marekani kibiashara. NATO haitakubali kudhoofika, itafungua njia na kwakweli watanunua bidhaa za marekani 🐒
Marekani ikijitoa NATO, ndiyo mwanzo wa mwisho wa wa nguvu na uimara wa jumuiya hiyo ya kijeshi gentlemanHwezi kulazimisha kununua bidhaa ghali ili hali kuna mbadalq wa bidhaa za bei rahisi
Sisi hatuongea kutoa vichwani mwetu, tunarefer wataalamu.Mnaongea kana kwamba nyie ni wataalamu Sana kumbe chuki tu. Mtu katandika habari ya kuokoteza na nyie mmejaa.