Rais Mugufuli atakumbukwa na vizazi vingi wa Watanzania

Kama si uthubutu wake hiyo tril 495 ungeijulia wapi? Ni wewe ndio ulitoa wazo la uchunguzi kufanyika??

Amesema mchanga uliopo bandarini utauzwa Sasa chini ya usimamizi wa TWIGA acha kukurupuka mkuu.
Yaani umebadilishiwa jina basi umefurahi,yaani mwafrica kumuibia rahisi sana!
Sasa ndugu,hizo trilion 495 Jiwe amezisamehe kwasababu yeye ndiye aliyezigundua au unajaribu kusemaje?
Mtaendelea kuliwa mpaka akili iwakae sawa,misifa siyo dili!
 
Mtaendelea kuliwa!!
 
Hatuongei ovyo mkuu, lete ushahidi wa unacho kisema.

Ushahidi yeye ndio anasimamia utoke, katika mazingira hayo unategemea kuupata huo ushahidi?
 
Hili halina ubishi
 
Sasa ngoja auwawe au kutekwa na kuteswa mtu wako wa karibu na unayempenda ndipo tutaona kama utakuja na sifia sifia zako hapa.
 
Ushahidi yeye ndio anasimamia utoke, katika mazingira hayo unategemea kuupata huo ushahidi?
Kama ni hvo basi zitabaki hisia tu Ila hakuna uhalisia kuwa yeye ndio mhusika.
 
Sasa ngoja auwawe au kutekwa na kuteswa mtu wako wa karibu na unayempenda ndipo tutaona kama utakuja na sifia sifia zako hapa.
Matukio Kama hayo ni kawaida duniani huwa yanatokea popote pale hata marekani yanatokea tena mengi kuliko huku kwetu.
Ditopile alipoua mtu ulikuwa ni utawala gani, Dr Ulimboka alipong'olewa kucha ulikuwa ni utawala gani,je unawakumbuka kina Abdallah Zombe??
Hivi vitu sio mara ya kwanza kutokea mkuu usijitoe ufahamu
 
Mkuu Dam55 waliozoea maisha ya kazi na bata watakwambia umesahahau kuweka namba yako ya simu.

JPM anafanya mambo yatakayoishi miaka na miaka wale wenye akili za kichawi wanasema hana la maana analolifanya.
 
Usijifanye hunazo; Risasi za Tundu Lisu hazihitaji kutafuta ushahidi mwingine
Lissu muulizeni Dereva wake anajua nini kilikuwa kinaendelea huko CHADEMA, amshukuru tu Mungu yangemkuta ya CHAHCHA WANGWE
 
Sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hvo basi zitabaki hisia tu Ila hakuna uhalisia kuwa yeye ndio mhusika.

Uchunguzi huru pekee ndio utasema yote, na yeye hautaki maana anajua kila kitu kitakuwa hadharani.
 
Ujinga mkubwa ndo huu yaan kwan kodi tunazokamuliwa mtaani zinaendaga wap?duh wabongo bana,yaan kutimiza wajibu wako wa kawaida unataka kusifiwa kutukuzwa na kukumbukwa,alaf mwanaume kusifia wanaume wenzako kuliko pitiliza ivi unatiwa wasiwasi
 
Lissu muulizeni Dereva wake anajua nini kilikuwa kinaendelea huko CHADEMA, amshukuru tu Mungu yangemkuta ya CHAHCHA WANGWE
Sasa tunaenda na Zakaria style,ukiona watu wasioeleweka wanakuvizia vizia na unayo silaha,fungulia njugu mpaka wajitaje wenyewe!
 
Ujinga mkubwa ndo huu yaan kwan kodi tunazokamuliwa mtaani zinaendaga wap?duh wabongo bana,yaan kutimiza wajibu wako wa kawaida unataka kusifiwa kutukuzwa na kukumbukwa,alaf mwanaume kusifia wanaume wenzako kuliko pitiliza ivi unatiwa wasiwasi
Ndo akili zako zilipo ishia hapo mkuu, Kama ni Kodi kwani zimeanza kukusanywa wakati wa Magufuli pekee, mbona huko mwanzo hayakufanyika haya.
Kukusanya Kodi ni jambo moja na kusimamia hizo Kodi ziwarudie tena wananchi ni jambo la lingine.
 
Uchunguzi huru pekee ndio utasema yote, na yeye hautaki maana anajua kila kitu kitakuwa hadharani.
Mkuu tatizo ni pele mnapojifanya mna akili yingi alafu kumbe kazi ya kuendeshwa kwa hisia hisia tu zisizo na mashiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…