Rais Mugufuli atakumbukwa na vizazi vingi wa Watanzania

Mpuuzi kama huyo unaachana naye tu. Aibu imewajaa sasa wanaongea chochote kile ilimradi nafsi zao zipone.
Kama si uthubutu wake hiyo tril 495 ungeijulia wapi? Ni wewe ndio ulitoa wazo la uchunguzi kufanyika??

Amesema mchanga uliopo bandarini utauzwa Sasa chini ya usimamizi wa TWIGA acha kukurupuka mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswahili husema, "mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni".
Ni ukweli ulio wazi Sasa kuwa Rais Magufuli atakumbukwa na watanzania katika vizazi vingi vijanyo.
Kipindi chake cha uongozi kimekuwa na mambo mengi makubwa ambayo kiukweli yalihitaji ujasiri mkubwa kuyafanya.

Hakika Magufuli ni mtu mwenye uthubutu hata Kama akifeli baadhi ya mambo lakini watanzania wataiona nia yake njema.

Huu mkataba wa madini kusainiwa kwa mara ya kwanza Tanzania itanufaika na raslimali yake ya madini, hii inamfanya Magufuli kuingie kwenye vitabu vya kumbukumbu vya taifa hili hasa mtu atakapogusa nyanja ya madini. Huu ni ukweli ulio wazi japo Wana siasa wengi watapinga hili.
Vitosho na maneno mengi ya kukatisha tamaa mara kushitakiwa Miga n.k , laikini alisimamia msimamo wake hadi leo matokeo tumeyaona.

Itakapo tajwa kampuni mpya ya TWIGA moja kwa moja utamtaja Magufuli, ukitaja mabadiliko ya sheria za madini hapo lazima utamtaja Magufuli, chimbuko la mawazo ya kuanzishwa vitu hivi vyote ni yeye.

Hebu tuseme ukweli.
1; Wana Mwanza itawachukua miaka mingapi kumsahau Magufuli kwa uwepo la daraja la BUSISI? Waliwahi kuota kuwa wangekuwa na kitu Kama hiki?
Ujenzi wa Meli tano ziwa Victoria itawachukua miaka mingapi hadi kusahau.

2; Itatuchukua miaka mingapi hadi kusahau Tren ya Umeme SGR!!
Kila atakae iona hata Kama ni miaka 70 baadae jina la Magufuli litamjia kichwani.

3; Wananchi wa kigoma watamsahau vipi Magufuli kwa ujenzi wa mabarabara yanayounganisha mkoa wa kigoma na mikoa jirani, mkoa ambao Kama vile ulikuwa umesahaulika kabisa.

4; Tutakapoanza kutumia Umeme kutoka Bwawa la Nyerere tutamsahau vipi Magufuli watanzania.?

5; Utakapoona ndege za ATCL zikipasua anga atamsahau vipi Magufuli?

Hakika huyu ni shujaa wa taifa hili, wanasiasa watakataa kwasababu nawao pia wanahitaji kushika dola hivyo usitegemee kuwa watamuunga mkono Magufuli hata mara moja.
Lakini vitu anavyo vifanya vinajieleza.

Prof Lumumba hakuwa mnafiki aliposema " the Magufulification of Africa."

Licha ya mapungufu yake kiuongozi lakini hakika huyu ni kiongozi wa mfano wa kuingwa barani Africa.
Atakumbukwa kwa kufanya maamuzi ya kinaniliu na matumizi ya pesa za umma bila kupata kibali cha wabunge. What a lovely legacy.
 
Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye, Nyumba za wananchi zilizovunjwa kikatili, Masheikh wa mikoa ya kusini waliofanyiwa kitu mbaya, Korosho za wananchi havitasahaulika kamwe
 
Za kuambiwa CHANGANYA NA ZAKO

Acha kupuyanga ovyo sasa kwa vitu visivyo na ushahidi mkuu.
 
Ni kweli tutamkumbuka hasa kwa utekaji na kupoteza watu unless miaka hiyo Ben Saanane awe amepatikana japo mzee.
 
Unapomkumbuka JK vipi unamkumbuka pia DR Ulimboka?
 
Kwa kutuibia trillion dollar 1.5, yeah atakumbukwa sana kwa ufisadi tangia taifa linatengenezwa..
Daah nilichofurahi ni kujua kumbe upo Swahiba wangu mpenzi.
Hujambo Lakini?
 
Jk
Unapomkumbuka JK vipi unamkumbuka pia DR Ulimboka?
Jk alikuwa smart Sana kwenye ku excute aliyoyaidhinisha hata ukitafuta humuoni anahusika wapi kwenye ulimboka anakumbukwa zaidi pinda kuliko jk pinda alichemka alipotoa kaulinyake ya utapigwa tu Ila mzee baba wa Sasa excutions zake anaonekana waaazi kabisa bila kurunzi.
 
Waswahili husema, "mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni".
Ni ukweli ulio wazi Sasa kuwa Rais Magufuli atakumbukwa na watanzania katika vizazi vingi vijanyo.
Kipindi chake cha uongozi kimekuwa na mambo mengi makubwa ambayo kiukweli yalihitaji ujasiri mkubwa kuyafanya.

Hakika Magufuli ni mtu mwenye uthubutu hata Kama akifeli baadhi ya mambo lakini watanzania wataiona nia yake njema.

Huu mkataba wa madini kusainiwa kwa mara ya kwanza Tanzania itanufaika na raslimali yake ya madini, hii inamfanya Magufuli kuingie kwenye vitabu vya kumbukumbu vya taifa hili hasa mtu atakapogusa nyanja ya madini. Huu ni ukweli ulio wazi japo Wana siasa wengi watapinga hili.
Vitosho na maneno mengi ya kukatisha tamaa mara kushitakiwa Miga n.k , laikini alisimamia msimamo wake hadi leo matokeo tumeyaona.

Itakapo tajwa kampuni mpya ya TWIGA moja kwa moja utamtaja Magufuli, ukitaja mabadiliko ya sheria za madini hapo lazima utamtaja Magufuli, chimbuko la mawazo ya kuanzishwa vitu hivi vyote ni yeye.

Hebu tuseme ukweli.
1; Wana Mwanza itawachukua miaka mingapi kumsahau Magufuli kwa uwepo la daraja la BUSISI? Waliwahi kuota kuwa wangekuwa na kitu Kama hiki?
Ujenzi wa Meli tano ziwa Victoria itawachukua miaka mingapi hadi kusahau.

2; Itatuchukua miaka mingapi hadi kusahau Tren ya Umeme SGR!!
Kila atakae iona hata Kama ni miaka 70 baadae jina la Magufuli litamjia kichwani.

3; Wananchi wa kigoma watamsahau vipi Magufuli kwa ujenzi wa mabarabara yanayounganisha mkoa wa kigoma na mikoa jirani, mkoa ambao Kama vile ulikuwa umesahaulika kabisa.

4; Tutakapoanza kutumia Umeme kutoka Bwawa la Nyerere tutamsahau vipi Magufuli watanzania.?

5; Utakapoona ndege za ATCL zikipasua anga atamsahau vipi Magufuli?

Hakika huyu ni shujaa wa taifa hili, wanasiasa watakataa kwasababu nawao pia wanahitaji kushika dola hivyo usitegemee kuwa watamuunga mkono Magufuli hata mara moja.
Lakini vitu anavyo vifanya vinajieleza.

Prof Lumumba hakuwa mnafiki aliposema " the Magufulification of Africa."

Licha ya mapungufu yake kiuongozi lakini hakika huyu ni kiongozi wa mfano wa kuingwa barani Africa.
Kwa lipi???🤣🤣🤣
 
Jk
Jk alikuwa smart Sana kwenye ku excute aliyoyaidhinisha hata ukitafuta humuoni anahusika wapi kwenye ulimboka anakumbukwa zaidi pinda kuliko jk pinda alichemka alipotoa kaulinyake ya utapigwa tu Ila mzee baba wa Sasa excutions zake anaonekana waaazi kabisa bila kurunzi.
Naona unajaribu kujisahaulisha huku nafsi yako inakusuta.
 
Back
Top Bottom