Rais Mugufuli atakumbukwa na vizazi vingi wa Watanzania

Mkuu tatizo ni pele mnapojifanya mna akili yingi alafu kumbe kazi ya kuendeshwa kwa hisia hisia tu zisizo na mashiko.

Uza ubongo huo dogo maana unaishi nao kwa hasara. Hivi unatuona tumelala sana kiasi kwamba hatujui lolote?
 
Uza ubongo huo dogo maana unaishi nao kwa hasara. Hivi unatuona tumelala sana kiasi kwamba hatujui lolote?
Lengo la upinzani popote pale duniani ukiacha kutoa challenges kwa serikali ili isijisahau isimamie haki kwa kukosolewa, lakini jambo la pili kubwa ni kutaka kushika dola, hivyo usifikiri kuwa hatujui kuwa kwa vyovyote vile wapinzani hawawezi kupongeza serikali ama kuunga mkono kwa lolote sababu kwa kufanya hivo ni kukubali kushindwa na kwamba mwenye sifa za kushika dola ni chama tawala na si vinginevyo.
Kwa maana hii sitokushangaa kwa chochote utakachokisema hapa.
 

Nina uelewa wa juu sana, hebu baki unamezeshwa hizo mbwembwe. Nimeshavuka kundi la kumezeshwa hizo sinema.
 
Sina hakika kama ushawahi kuandika insha ya pros and cons kwa kutumia critical thinking.

This is sheer hagiography, the domain of the mentally feeble.
 
Nina uelewa wa juu sana, hebu baki unamezeshwa hizo mbwembwe. Nimeshavuka kundi la kumezeshwa hizo sinema.
Haya mkuu na huo uelewa wako wa juu.
 
Sawa imekolea
Yaani umebadilishiwa jina basi umefurahi,yaani mwafrica kumuibia rahisi sana!
Sasa ndugu,hizo trilion 495 Jiwe amezisamehe kwasababu yeye ndiye aliyezigundua au unajaribu kusemaje?
Mtaendelea kuliwa mpaka akili iwakae sawa,misifa siyo dili!
Sawa imeingia, tulia hivyo hivyo
 
Sina hakika kama ushawahi kuandika insha ya pros and cons kwa kutumia critical thinking.

This is sheer hagiography, the domain of the mentally feeble.
Na huwezi kuwa na hakika, sababu siwezi kuandika kwa mitazamo Kama uliyo nayo wewe.
 
Na huwezi kuwa na hakika, sababu siwezi kuandika kwa mitazamo Kama uliyo nayo wewe.
Kwani nani kasema uandike kwa mtazamo nilio nao mimi?

Unaelewa hata nimeandika nini?
 
Ufisadi anaoufanya rais ni mkubwa zaidi anayotekeleza miradi mingi ni mkopo sasa atakumbukwa na nani kwa huo mzigo wa madeni anaowaachia wanancho
 
Nonsense!
 

ingawa jamaa ana mapungufu yake kama binadam mwingine ila ni kati ya watu waliojaribu sana, i cant comment sana kwa Baba wa taifa ila on my opinion he is the best president ever happend, i would be happy kuona anakamilisha miaka kumi ya uongozi
 
familia za akina azory gwanda, ben saanane na yule diwani wa kigoma nao pia hawatakaa wamsahau
 

umesahau matipa ya dhahabu na noah kwa wamatumbi wote waliokuwepo siku Mruma anawasilisha pepa yake, Mwisho umaskini kwa kaya nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…