BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Wameshagundua wananchi ni MAZUZU HAYAELEWI KITU.Viongozi wa Africa wanatumia nguvu zote kupinga ushoga ila mambo mengine ya msingi ni kama hawayaoni. Hii ni kutafuta cheap popularity and people fall for it.
I don't condone ushoga ila same energy itumike kwenye mambo ya msingi as well.
Ndio maana hicho kibabu museven kimerukia mashoga ili kupata ujiko wa kisiasa kwa bei rahisi sana.
Umasikini, udikteta na wizi wa mali za waganda sio ISSUE.
Wako bize kupambana na VINYESI.