Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Hata haki za binadamu zinajifichia kichaka icho icho cha kutetea utu wao... Je mtu kubokolewa nyuma sio kushusha utu wake..?? Sasa wewe unamteteaje wakati kashinda kutetea marinda yake.... WAle chuma ya kichwa tu.. Na inaonekana wewe balozi waopumbavu, sitetei ushoga, natetea utu wao usitweze. Mkiona mtu anawatetea mnaanza kuhisi naye ni mmoja wao. Sasa mkiwaua hamuoni kuwa hayo ni makosa ya kijinai? Kuweni na akili kupambana na ushoga